Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

I we must die, let it not be like hogs,
Hunted and penned in an inglorious spot,
While round us back the mad and hungry dogs,
Making their mock at our lot.
I we must die ooh let us nobly die.
So as our precious blood may not be shed in vain:
image_search_1546624149420.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uuliwe Zito Kabwe kwa lipi haswa? I mean hii ndo shida ya Wazazi kutelekeza watoto na kutokuishi nao kuwapa mapenzi ya dhati matokeo yake wanakuwa viumbe walio na mapungufu makubwa ya upendo hivyo siku zote wanatafuta attention na validation kila mahali.

Haya tumekusikia basi tutakujadili wiki nzima hatujajusahau, ni kwamba tu tuna mambo mengime pia ya kujadili, lkn hatujakutupa!

Umerudi, ww ndio ulikuwa unashabikia na kuhalalisha Lissu kushambuliwa na sasa unachombeza hiki kitisho cha Zitto.
 
Kama madai haya ni ya kweli, basi kuna mtu(anaepanga mambo haya ) lazima ajiulize ni kwanini siri zinavuja kama kweli wote wanaomzunguka wanamkubali na pia yeye mwenyewe ajitafakari kama yuko .......
Hata alipokua chadema alisema mlitaka kumuua
Zitto anaweweseka,ameona serikali imemchunia juu ya yote aliofanya anaanza kuweweseka
Serikali ikitaka kumuua zitto,haihitaji kufanya operesheni maalum,aache kujitekenya na kucheka mwenyewe
 
Kupitia account yake ya twitter mbunge wa Kigoma mjini amesema kuna operationa maalumu ilitoanzishwa kwa lengo la kummaliza.

Najua ni kuishutumu serikali ila wangetaka kumuua huyo anatiliwa sumu kwenye mike anayozungumza nayo, anatiliwa sumu kwenye kinywaji anachokitumia. Inammaliza taratibu anakuja kufa kwa ugonjwa wengine hawajui. hakuna serikali inayotaka kukuua kinamna ambayo itajulikana haraka hivyo, nyingine kiki hizo.

Hata Lissu naye angekuwa auawe na serikali basi eneo lile la tukio asingetoka mzima, risasi moja ama mbili tu ndiyo zingetumika. Hata angepona na kuingia kile chumba upasuaji Dodoma, na jinsi hospital za serikali zilivyojaa vibaraka. Asingetoka hai, na hakuna ambaye angejua kauawa. Si wanakuwekea tu damu ambayo si kundi lako, nani atajua?
Ule uhuni umefanywa na wahuni tu.

Hizi ni Sympathy vote kwenye ulingo wa siasa ndiyo zinatafutwa, kumfanya mwanasiasa awe juu na jina lake lisotoke midomoni mwa watu. Kunatumika mbinu nyingi mno, zenye ubaya na uzuri. Watawalaghai wengine.

"Mwanasiasa yupo kwenye kampeni muda wote, hata kama hakuna uchaguzi"
 
Hata alipokua chadema alisema mlitaka kumuua
Zitto anawewezeka,ameona serikali imemchunia juu ya yote aliofanya anaanza kuweweseka
Serikali ikitaka kumuua zitto,haihitaji kufanya operesheni maalum,aache kujitekenya na kucheka mwenyewe
Wapi kataja serikali?
 
Baba yako hata wewe kukulea ameshindwa, Una akili fupi Sana

Hivi zero brain Kama wewe, Baba yako eti anajiita Mzalendo kwa kuzaa tahira

Uzalendo anza kwenye Familia yako, Au Muulize aliyekufanya uwe na IQ ndogo halafu, Hamishia huo uzalendo kwenye ukoo

Certified idiot wewe

Matusi yako yanathibitisha jiti limefika Kwenye rectum
 
Kupitia account yake ya twitter mbunge wa Kigoma mjini amesema kuna operationa maalumu ilitoanzishwa kwa lengo la kummaliza.

How can we verify the veracity of this type of info? And suppose its all true, what makes Zitto so cocky and confident that whoever is after him, won't be able to get him?
 
Uuliwe Zito Kabwe kwa lipi haswa? I mean hii ndo shida ya Wazazi kutelekeza watoto na kutokuishi nao kuwapa mapenzi ya dhati matokeo yake wanakuwa viumbe walio na mapungufu makubwa ya upendo hivyo siku zote wanatafuta attention na validation kila mahali.

Haya tumekusikia basi tutakujadili wiki nzima hatujajusahau, ni kwamba tu tuna mambo mengime pia ya kujadili, lkn hatujakutupa!
Nakukumbusha kwamba Wakati Ben Saanane anatoa taarifa kwamba anapokea vitisho uliropoka kwa kejeli za namna hiyo hiyo na wakati Lissu anasema pia anawafuatiliwa na watu ambao sasa wanaitwa "Wasiojulikana" kila aendapo ulijiropokesha Upuuzi kwa Mara nyingine ila yote yalitimia.

Iko siku madhila ya namna hiyo hiyo yatakukuta wewe au ndugu wa karibu yako sana utaelewa tu maana halisi ya Upumbavu wako huu.
 
Aisee tulipofikia sipo kabisa haya mauaji wao wanaona swala la kawaida tuu na kuendelea kuzungumzia maendeleo wakati usalama hakuna hayo ma SGR na madaraja ya nini sasa...
 
Inawezekana kabisa maana ya Lissu yalianza hivi hivi.

Hata Ben Saanane ilikuwa hivi hivi na mpaka leo hajulikani alipo.

Zitto amekuwa akivujisha mambo mengi mazito na sijawahi sikia kakamatwa au kushitakiwa kwa kuchafua watu fulani zaidi ya kushitakiwa hivi karibuni.

Kama madai haya nayo ni ya kweli kama tulivyoona kwa Lissu, basi kuna mtu (anaepanga mambo haya ) lazima ajiulize ni kwanini siri zinavuja kama kweli wote wanaomzunguka wanamkubali na pia yeye mwenyewe ajitafakari kama yuko .......
Hapa akina DJ wanaweza kuizima hii nyota
 
Uuliwe Zito Kabwe kwa lipi haswa? I mean hii ndo shida ya Wazazi kutelekeza watoto na kutokuishi nao kuwapa mapenzi ya dhati matokeo yake wanakuwa viumbe walio na mapungufu makubwa ya upendo hivyo siku zote wanatafuta attention na validation kila mahali.

Haya tumekusikia basi tutakujadili wiki nzima hatujajusahau, ni kwamba tu tuna mambo mengime pia ya kujadili, lkn hatujakutupa![/QUOTETundu lisu kwani alipigwa risasi kwalipi hasa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom