Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

Status
Not open for further replies.
hahaha naisubiri jion kwa hamu nishuudie zitto anavyopigwa goli nyingi kabla hata ya dakika 90
mtu ni majeruhi lakini wanamshauri aingie uwanjani acheze si kutafuta kifo huko?
Huu ndio mwisho wa huyu bwana kwenye medani za siasa tanzania na dunia kwa ujumla
wanao tangaza tanzia yangu ya kisiasa nawashauli wawe na akiba ya maneno mana hawajui ya kesho "by zzk".
 
Mr. Milembe tundu lisu ameizamisha chadema baharini

Aisee na sisi CDM crdit kubwa kwa kiongozi wetu ni awe anachukiwa toka moyoni kwa wanaccm na mwenye kupewa majina mabaya na wana ccm na siyule anaeyesifiwa na ccm na kupewa majina mazuri na ccm na mwenye marafiki na maccm.
Tundulisu ni zaidi ya wabunge 100 wa maccm

Tundulisu ni zaid ya mwanaharakati na mzalendo kwa taarifa hii thats why Singida mashariki wakampa wenye vitiwa Vijiji 41 kati ya 43 muulize Zitto kwa historia yake CDDM ameipa wenyeviti wangapi wa viji na mitaa pale Kigoma Kaskazini, madiwani wangapi pale Kigoma kaskazini? Kura za urais kwa Dr. Slaa alipata ngapi pale Kigoma kaskazini? Mbowe, Dr.Slaa kupata tu ubunge wamewezesha hamashauri zao kuongozwa na cdm Vip ZZK pale Kigoma kaskazini?
Alishutumiwa kutaka kuuza jimbo hilo 2010 na sasa anaonyesha wazi kuliuza na anakwenda jimbo lingine tena ambalo CDM lilikuwa linafanya vizuri lengo lake hasa ni nin? wenye akili wanajua
 
Zitto ndo ameshakufa kisiasa tayari aende kujizikia huko ACT
 
Sasa nibaki Chadema kuna nini?zaidi ya wahamasishaji maandamano hao ndio waliobaki.Vp maandamano yajayo tubebe tena mikate manaake hayana kikomo?

teh!teh!teh! jaman chadema bongo movies,eti bebeni mikate wakati mboe huyoo south baada ya kumaliza kuact hiyo filamu hahahaaaaa!zito ni homa ya jiji kwa chagadema nguvu ya umma wanayokumbana nayo mtaani wanabaki kudefend tu,et lisu katumia sheria yan ni kinyaa aiseee mlivyokua mkitaja nguvu ya umma mlifikir makarabrasha eeeehhhh!sasa acha muone mizani ya nguvu ya umma imeelemea wapi kwenu WACHAGADEMA au ZITO GREAT THINKERS
 
Walevi kama wewe mpo wengi Ufipa. Mmemfukuza wenyewe alafu unadai ni mkakati wa ccm????

Tatizo lenu mkishamfukuza basi asirudie tena kusimama kwenye majukwaa ya kisiasa! Kama ni roho mbaya nyie watu mmezidi...

Kumbukeni hata Cuf na Nccr mliwatukana sana hadi kuwaita ccm b lakini haohao leo ndo ukawa na chadema. Sisimizi Kafulila ndo yupo kwenye serikali kivuli ya Mbowe kwa kofia ya NCCR, sasa kwa zitto kutafta jukwaa jingine la kisiasa baada ya kutimuliwa kwenye chama chake alichokipenda kwa moyo wake wote kama mbwa kwann iwe nongwa?

Acha kukabidhi ubongo wako kwa wanasiasa badala yake wakuamulie nini cha kufikiri, ifike hatua mtumie vichwa vyenu kufikiri sawasawa.

Unachoongea kinahitaji mwenye akili timamu kukielewa. Hakika Kijana umesema kilichokuwa na uzito na apingae anakuwa na sifa binafsi ya ubinafsi.
 
Nathubutu kusema Tundu_lissu alikurupuka kumvua bwana zitto uanachama!suala hili ni lazima litaigharimu chadema,pia nathubutu kusema ushindi kwa chadema ktk ngazi ya urais uishe pamoja na kuunganisha nguvu zao na kutengeneza "ukawa" zitto alipaswa abakishwe ndani ya cdm kama dormant member huku akifuatiliwa kwa ukaribu nyendo zake// Linalokuja kutokea ni kwamba kwa kujiunga na chama chochote kile lazima atakuja kuzigawa kura za ukawa kwa maana baadhi ya kura zilizotakiwa kuja ukawa zitakwenda kwa chama kipya atakachoingia "zitto"/ TUVUTE SUBIRA KIDOGO TUSHUHUDIE/KUONA NGUVU ZA "ZITTO"

Ni mtu mjinga tu kama wewe anayedhani Zitto kafukuzwa uanachama na Lissu au Chadema. Zitto alijifukuzisha mwenyewe na hata huko anakokwenda kama hataacha kujikweza na kujiweka juu ya chama atajikuta akijifukuza vilevile. Mahali po pote kuna "give and take". Zitto yeye anajua tu ku-give. This will cost him.
 
Last edited by a moderator:
Tumia Akili bwana Mdogo cdm Akili yao wote ukiichanyanga haifikii ya zzk kwa mikakati angalia mwenyekiti wako ni zuzu tu hata siku moja hawahi kutoa point bungeni au kuibua kitu na kutetea wananchi sikuzote ni kudandia tuu

Kama ana akili hivyo iliwezekanaje CCM ikawachukua watu kama akina Shonza tena kwa mbwembwe watu waliokuwa wamefukuzwa kwenye chama chao wakamwacha huyu mnayemwita jembe? Kwa kuwa alikubali kutumika kukisaliti chama na kuanzisha ACT hata CCM hawataweza kumwamini kwani wanamjua ni easily bought.
 
Zzt waage uondoke maana kunawatu mpaka hawalali kisa wewe, lakini jua wana tambua kuwa ww ninani ktk siasa ya tz, leo niwewe katulie umsubiri wa kesho atakuwa nani!
 
ila cdm tunapita wakati mgumu sana

Mkuu MEXICANA haya ni mawimbi tu, pigeni moyo, kaza kamba za buti songa mbele. Mtu mmoja hawezi kuachwa avunje chama kwa maslahi yake.

Nimecheka ati, ajiuzuru ubunge... fyuuuuu... si amejifukuzisha kutoka chama chake, amejiuzuru kivipi tena. However, kanuni/sheria ya katika ya CDM ilivyo, suala ni kwenda kinyume na katiba unakwenda, period. Haya mambo hayana mwenyewe, aliwahi kushiriki kuwa shughulikia akina Mng'ong'o, sasa wacha msumeno ukate na upande aliko...

Nenda mwana kwenda...
 
Last edited by a moderator:
Bungeni anafanya nini hata kwa dk moja tu, sio haki maaana sio mbunge tena; ZZK ni mwizi wa mali ya umma, spika anasaidia wizi huu, taarifa gani haijafika bungeni ili hali magazeti, tv redio hata twitter na whatsapp zimewafikia? aaaaah bado barua, ina maana barua pepe hawajapata???

Bwana Mdogo acha papala mambo yanaenda kwa protocol na itifaki yataisha tuu kwani ww unapungukiwa nini au kunufaika na lipi zito akiondoka zaidi yetu watanganyika ambapo tunamhitaji mtu kama huyu kuliko siku zote
Tulia bwana mdogo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom