stanlthecreator
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 1,947
- 648
Mhh,Huyu Zito kwanini anatufanyia hivi chadema??
koment zingine bana,hadi kinyaa.huwezi amini kama mtu na akili zake anaandikaMbowe anatamani angepewa heshima ya kulihutubia Bunge kama Zitto .
Wamejishtukia,te teh mwili wa marehemu(wa kisiasa)ulikuwa uagwe leo bungeni
Naskia itaonyeshwa live online na:
Jamiiforums youtube channel
itv
azam tv
tbc
Nani alifukuzwa unachama akiwa Mbunge kama ZITTO?Naomba kujua ni wabunge wangapi ambao walifukuzwa kwenye vyama vyao na kupoteza Ubunge alafu wakapewa nafasi ya kuutubia bunge? Anautubia bunge kama nani maana si Mbunge tena?
Kweli Zitto ulikuwa kibaraka wa CCM. Hongera Chadema kwa kuliona hili
Zitto ni kiongozi wa kitaifa.
Wewe mbona uko kwenye mada hii, ukweli ulionao ni upi, au na wewe umeamua kujidhalilisha?Humu ndani kuna unafiki kuna wakati zikiletwa taarifa chanzo clouds fm huwa inapondwa sana hiyo radio sasa habari ya Zito watu wanatoa povu na kuamini chanzo cha taarifda bila hata kutumia nguvu kidogo kutafuta ukweli wa habari mnajidhalilisha sana watu wazima..