when I read these comments nasikia kutapika, natambua ni jinsi gani watanzania wamezoeu upumbavu na kufanywa wapumbavu. Sasa hivi kweli kuna mpuuzi anayetaka Chadema wawe responsible kwa watanzania badala ya wananchama wa chadema? hivi hata hiyo dhana ya political party watu hawaijua wanafikiri ni upambe na kusifiaan ili kupata mkate wao wa kila siku? Zitto ajifunze kwa wanasiasa nguli hivi yule mzazibari wa CCM aliyehamia CUF alipofukuzwa alienda bungeni kuaga? na huyo spika anaruhusu vipi? tunaomba Chadema ama Mbatia wa NCCR aweke zuio la hawa wakina Anna kufanya mambo wanayotaka badala ya kulitumikia taifa. Zitto anategemea bunge litapinga kufukuzwa kwake? hapo ndipo napoamini kuwa kweli ni kanyanja hana ujuzi wala uzoefu wowote wa siasa. Mioyo ya kiburi hukutwa na anguko kubwa. Byebye Mhishimiwa hebu nenda kuko ACT kwanza ukaanza na vita ya Limbu, what a re union na wanafiki wenzako wakina Mkumbwa? na yeye u professor umemshinda saa kaenda kijiweni Twaweza tu work under somebody very strict and progressive, sioni aki last hata huko labda wamuache tu kisiasa kama Rajesh Rajani atakubali kuua misingi aliyoijenga for years na kwa nguvu kubwa
Ulivyoanza niliona ungetumia busara na hekima kuchangia mawazo yako;lakini badala yake naona kashfa na matusi ;nadhani ni vizuri ukachangia kwa lugha nzuri tu na utaeleweka tu na watu kukubali au kukataa mawazo yako