Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
Mbowe is too local
According to Zitto
Mbowe is too local
Mbowe ana akili za kitoto sana eti ndio mwenyekiti.anamchukia sana zitto.
Taarifa hizi zimeenea mitandao yote na waliovujisha ni wabunge waliokuwa wanalazimishwa.
Mbowe kaishiwa ajenda na kama bado unaimani naye subiri jionee walivyoishiwa.
Katika hali ya mshangao mkubwa,Mwenyekitu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo katika kikao cha cocus ya chama kilichomalizika hivi punde,Mwenyekiti wa chadema amefanya kampeni chafu ya kuhakikisha wabunge wa Chadema wanamzomea Zitto wakati atakapo kuwa anawaaga wabunge.
Pamoja na jitihada za Mbowe wabunge hao wamegawanyika kwa kile walichodai kuwa huo utakuwa uhuni mkubwa na hivyi hawako tayari kuburuzwa na fikra za watu wachache wenaoendekeza siasa za chuki na Ubaguzi.
Bado jitihada za kufanikisha zinaendelea huku zikiratibiwa na viongozi waandamizi wa chadema.
Ile hadithi ya Bi kilembwe na nchi ya giningi tunaishuhudia leo ikiongozwa na mtu aliejitambulisha kama mwana demokrasia
Itakuwa saa moja jioni.
CHADEMA wakimzomea Zitto watakuwa wanakosa busara na hekima za kisiasa...
Duuh...kuzomeana tena, kweli utukufu wa mfalme unatimia.
Mbowe hawezi hangaika na wafu, kama itatokea atazomewa basi ni yeye ila usimuhusishe kamanda Anga na upuuzi wenu ACT.
Mbona ueleweki ?!! unalaumu kumbe jambo lenyewe bado. Lo !!JF kuna vituko.
Katika hali ya mshangao mkubwa,Mwenyekitu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo katika kikao cha cocus ya chama kilichomalizika hivi punde,Mwenyekiti wa chadema amefanya kampeni chafu ya kuhakikisha wabunge wa CHADEMA wanamzomea Zitto wakati atakapo kuwa anawaaga wabunge.
Pamoja na jitihada za Mbowe wabunge hao wamegawanyika kwa kile walichodai kuwa huo utakuwa uhuni mkubwa na hivi hawako tayari kuburuzwa na fikra za watu wachache wenaoendekeza siasa za chuki na Ubaguzi.
Bado jitihada za kufanikisha zinaendelea huku zikiratibiwa na viongozi waandamizi wa CHADEMA.
Ile hadithi ya Bi Kilembwe na nchi ya giningi tunaishuhudia leo ikiongozwa na mtu aliejitambulisha kama mwana demokrasia
Itakuwa saa moja jioni.
wanasiasa wenye hekima chadema wote walibatizwa jina la Usaliti ili kuwafunga mdomo wasimshauri Mbowe.
Usitegemee hekima tena ,maana watu kama David silinde na Wenje pamoja na Mdee wapo kwenye rad ya kuitwa wadaliti kisa wana mtazamo tofauti na mwenyekiti.
Zidumu fikra za mwenyekiti.
Uongo hauwezi kusaidia kubadilisha maamuzi ya katiba ya chama, endeleeni kujianika hofu, ujinga utaendelea kuwakumba wasaliti wote.
Chadema imara na makini ni hii ya sasa yenye tumaini la Watanzania.
Japo simpendi zitto ila hapa napingana na wewe mbowe ni mtu wa ajabu sana anaweza kufanya mambo ya ajabu ambayo hata huyatarajii kabisa.ACT mnahaha kweli....
Mbowe hana muda wa kufanya huo upuuuzi.....
Mnaanda watu kisaikolojia Maana mnajua atazomewa tu..
Zitto ondoka haraka....Hakuna namna nyingine.
Hata hao wakina Wenje Mdee na Silinde wanaotanguliza urafiki kazini wakizungua CHADEMA tunawatupa nje, operesheni delete wasaliti ipo kazini, hatuangalii sura.