MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 762
Naondoka Kigoma ikiwa Dubai- Zitto
Hvi imeshakua kama dubai hyo kigoma?
Naondoka Kigoma ikiwa Dubai- Zitto
Mbowe ana akili za kitoto sana eti ndio mwenyekiti.anamchukia sana zitto.
Hvi imeshakua kama dubai hyo kigoma?
kwa hiyo mbunge yoyote asipozomea leo ni msaliti?
usipozomea msaliti wewe ni bwegeeee fulani tu, unavumilia usaliti???
Chadema imejiaibisha sana. Watanzania wanaiona rangi halisi ya ubaguzi ya Chadema
Uongo hauwezi kusaidia kubadilisha maamuzi ya katiba ya chama, endeleeni kujianika hofu, ujinga utaendelea kuwakumba wasaliti wote.
Chadema imara na makini ni hii ya sasa yenye tumaini la Watanzania.
Udini ni mbaya sana.
Nathubutu kusema Tundu_lissu alikurupuka kumvua bwana zitto uanachama!suala hili ni lazima litaigharimu chadema,pia nathubutu kusema ushindi kwa chadema ktk ngazi ya urais uishe pamoja na kuunganisha nguvu zao na kutengeneza "ukawa" zitto alipaswa abakishwe ndani ya cdm kama dormant member huku akifuatiliwa kwa ukaribu nyendo zake// Linalokuja kutokea ni kwamba kwa kujiunga na chama chochote kile lazima atakuja kuzigawa kura za ukawa kwa maana baadhi ya kura zilizotakiwa kuja ukawa zitakwenda kwa chama kipya atakachoingia "zitto"/ TUVUTE SUBIRA KIDOGO TUSHUHUDIE/KUONA NGUVU ZA "ZITTO"
Ki ukweli hiki hiki chama cha kina mrema, mboye, mnyika, ndesamburo, mtei, swai, mramba, lema, na babu mimacho mwenye kisukali kina hali mbaya sana. Najua marobbot yao hayaoni
Acha saundi bana......mbona watu mnapenda kuongea kauli za kichonganishi..........okay sasa hata kama akizomewa wewe unahisi hatostahili hiyo fedhea........si mwenyewe amefanya uhaini ndio maana dunia ina mrudi..........to hell with him...........ametuahibisha sana wanaharakati vijana........si tulijua ni salio la nyerere kumbe another baradhuri like the rest ov ccm............*** it....!
Unataka kusema mbatata?.... Zitto Angetulia Angeweza Kuwa Mwanasiasa Mmoja Matata Sana Ambae Hajawahi Kutokea Hapa Tanzania
Acha kufikilia kwa kutumia matako tumia kichwa
yeye ndio ACT haitaji kufanya haraka ACT ndio inamsubiri hata ikibakia siku moja hakifanyiki kitu bila yeye na mkuu mwenzie LOWASA. Hawa jamaa ndio wamejipanga kuimaliza kwanza CCM halafu CDM Kinafuatia. stay tune!!
Majibu magumu kutokana na maswali dhaifu na mepesi
1:Hapana, Zitto hataishi milele kwa sababu kila nafsi itaonja mauti
2:Yeah, ni kweli bila ya watu jamii ya kina Zzk kamwe tanzania haiwezi kuendelea, watu wenye uchungu na taifa wenye kutanguliza maslahi ya taifa kwanza then mivyama baadae
3:Kwa wanasiasa karibia wote wa upinzani,inaonekana wazi kuwa ana akili saaana kijana zzk hata mwenyekiti mwenza ukawa PROF IBRAHIM LIPUMBA kathibitisha juzi kati
4:Yeah, asilimia kubwa ya mijadala ilioyumbusha serikali sikivu ya ccm zaidi ya mara3 ilianzishwa na zzk hii ni kutokana na u mahiri wake wa kujenga hoja
5:Iko wazi kabisa kutakuwa na baadhi ya mabadiliko katika bunge lijalo sababu wananchi wamechoshwa na ahadi hewa za ccm hivo watapiga kura za hasira kwa wale wabunge mizigo kama sio kura za maruhani.
6:Ni kweli, ni mbaya sana kuwa mfuasi wa mtu, hasa jamii ya lema sababu madhara yake ni makubwa sababu unaweza kuishia jela au kupata kilema cha maisha
7:Hapana, hapa umewalenga bavicha sababu kila kauli ikitoka kwa lissu, mbowe au slaa wao ni ndio mzee...pia inaaminika kuwa
MBOWE+SLAA+lissu=ZZK
Siku nyingine uje na maswali yanayofikirisha bhana.