Kasheshe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 4,694
- 793
JokaKuu tuna uhakika chama chake kimemfuta kazi/uwanachama? Maana tunasikia tu lakini yawezekana hakuna taarifa yeyote rasmi kwa mhusika au kwa taasisi yeyote husika, wenye ushahidi wekeni hapa!..mtu aliyepoteza ubunge wake kwa kuvuliwa uanachama na chama chake, au kwasababu yoyote nyingine, huwa anapewa nafasi ya kuhutubia na kuaga bungeni?
cc Pasco, Ritz, Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3, EMT, Mkandara, Kasheshe, Mag3, Ben Saanane
Last edited by a moderator: