Huhitaji kuwa na utaalamu wa oceanography kujua uhayawani wa mungu wenu wa ChatoWewe uliyesoma oceanography tuambie korosho zikimwaga baharini finally zinaenda wapi?
Punguzeni chuki JPM kashakufa tuanze upya kimaisha hata kama aliwakwaza kwa namna gani yule ni mwanadamu tu
Tatizo lako liko hapa sio bure:Sheitwan ni wana sukuma gang
ombi kwa viongozi wa jf , hili jina la la tarehe 13 june 2015 halikuwa sahihi kusajiliwa hapa maana tayari kuna mwenye jina tujaribu kuwa makini , huyu amekuja kwa lengo la kuiba majina na kupotosha , atafute jina lake .Malizia lindo ukalale wewe huna lolote wewe mchumia tumbo
He should first prove to us ilivyomwagwa bahariniHoja hujibiwa na hoja
Prove him wrong with facts and figures
Huyu Zitto anatakiwa aitwe mahakamani athibitishe madai yake, huko baharini ni eneo gana hasa korosho zilimwagwa na nani wahusika wa umwagaji yeye kama shahidi namba moja awe kusikia, kuona au kuhusika katika utekelezaji wa kitendo husika kama mamlukiHe should first prove to us ilivyomwagwa baharini
Huna hojabww. Prove to us huo umwagaji wa korosho ulivotokea. Pctr, videos etc. Figures zipi unaziongeleaRudi kwenye topic
Zimewekwa figures
Pingana na hizo figures kwa figures kwanza
Pinga figure alizoweka kwa kuweka figure zako...He should first prove to us ilivyomwagwa baharini
Stop attacking Zitto be consistent by attacking the argurement. Make us know where other koroshoz were disposed off instead of spinning. Shame on youZitto Kabwe is a disaster to Tanzanian development and he is such a hypocrite to trust in anything he talks about, acts, and thinks of delicate and sensitive matters of the country's interests.
Zitto anapenda siasa ila hapendi kuuwawa na kuzikwa msituniKama ni muoga wa kiwango hicho basi hafai hata kuwa kiongozi...
Stop barking as a local dog with the intent to threaten critics; Zitto is a toxic liar and he shall pay the price for unethical and immoral aspectsStop attacking Zitto be consistent by attacking the argurement. Make us know where other koroshoz were disposed off instead of spinning. Shame on you
Niprove mimi tena?Huna hojabww. Prove to us huo umwagaji wa korosho ulivotokea. Pctr, videos etc. Figures zipi unaziongelea
Sababu jiwe alijipa uungu mtu asingeruhusu.Haituusuuuu
Aendelee tuuu nauchawa wake
Mbona Wakati Chuma yupo akudhubutu kufungua domo lake
Hata wewe hukusema!Haituusuuuu
Aendelee tuuu nauchawa wake
Mbona Wakati Chuma yupo akudhubutu kufungua domo lake
Kabisa mkuu kabisa wanajidai wana uchungu na nchi kumbe makuwadi wa soko huriaJiwe anatetewa na wezi wa mali za umma na wasiyo na vyeti halali vya kufanyia kazi serikalini.
mayanga construction company hahahaUfisadi mkubwa sana umefanyika chini ya Jiwe na hao wasaidizi wake ambao kila siku wanamtetea
Usiendeshwe na emotions, nilichosema bring evidence here na rumbling without facts that is number one,Hii post ya Maria Nyedetse ni ya kijinga sana. Unasema hakuna korosho ulizoziona zinaelea ufukweni? Wewe huijui bahari Kaa kimya!!
Unasema tu move on?? How can we move on bila kujua tulipokosea??
Yule mburura wa Chato kwa ujinga wake wa kujiffanya much now kaharibu biashara ya korosho na kuwatia watu hasara. Na nyinyi mlivyokuwa wajinga mlimshangilia aliposema Serikali itanunua korosho!!
Sasa hapa tunaweka wazi uhayawani alioufanya eti mtu mmoja anasema tu move on!! Pumbafu kabisa, na ndiyo hawa wanasema tuache kumchafua marehemu