Zitto, Kitila na Mwigamba wajisalimisha CHADEMA

Zitto, Kitila na Mwigamba wajisalimisha CHADEMA

Status
Not open for further replies.
lakini mhhh, kumbe na ada ya chuo alilipiwa? halafu ndio anatenda haya? anamuita mbowe majina yale yote? jamaa ana roho ngumu aisee.

sasa naanza kuelewa ile hotuba ya mbowe alipokuwa anawa grrom vijana pale land mark kwamba yeye kama yeye alikuwa anwatafuta vijana na kuwawezesha kujiunga na harakati za ukombozi wa nchi yao, kule alikwenda extra mile na kuwawezesha wengine hadi pesa kutoka mfukoni mwake

siyo kusaidiwa kwenye masomo tu mpaka usafiri wa kutembelea alipewa leo analeta usaliti na kusahau alitolewa wapi..
 
siyo kusaidiwa kwenye masomo tu mpaka usafiri wa kutembelea alipewa leo analeta usaliti na kusahau alitolewa wapi..

yegella kwa kweli leo mmetufumbua macho wengi.

Sishangai kwa sababu Yuda Iskariote alimsaliti Bwana wake Yesu Kristo!
 
Last edited by a moderator:
Aisee..!!

Hii kweli ni Breaking News.Sasa kutapatapa kote huko na kuitisha mikutano inayofadhiliwa na CCM mwisho wake ni kuomba Radhi?

Chezeya Chadema weye?
Du Kamanda Tupogo(Molemo), nawe unaingia huu kuonyesha upande wako hata Kabla ya uamuzi wa mwisho je hujui kuwa una influene ya kuwez kushawishi jambokwa viongozi kutokana na nafasi yako ndani ya Chama rejea sifa za PR
 
Tutawaona wale wenye siasa nyepesi
kama wanamapenzi na CDM kwanini
wanahusika kukihujumu chama ?

Kwa walioangalia Bunge trh 06.12
Mbunge Kafulila alipopewa nafasi ya
kusema neno kuhusu kifo cha Mandela

Baada ya maongezi yake yote akasema
kwaniaba ya Chama chake Nccr Mageuzi
anatoa pole sana. Ukumbi wa Bunge ulicheka
sana hasa wakimwambia wewe sio Mwanachama
wa Nccr Mageuzi bali Mbunge wa Mahakama

Nao hao wanasema wabakipenda je hujuma
zao zingefanikiwa.

We mwendawazimu kweli kweli. Ina maana hata tangazo la NCCR la kumsamehe na kumrudishia uanachama KAFULILA hukulisikia? Tangazo hilo mbona lilitolewa muda mref na vyombo karibia vyote vya habari vilitoa taarifa hiyo! Usiropoke hovyo kama mtoto wa kichakan.
 
Bado ninatafakari, kwanini zito hajatoa kauli yoyote juu ya genge la wahuni wanaohamasisha watu kufanya fujo katika mikutano ya Dr Slaa?, nini msimamo wake juu ya fujo zilizojitokeza na pia atueleze Dr. Alex anaratibu fujo hizo kwa maagizo ya nani?
 
!
!
oh baby(3x)
when wake up wake up in the morning
i see your lovely face
your cheeks like butter honey from attica
you take my breath away
your pretty little fingers so tender like petals from the morning bloom
your laughter,a joy to remember heaven has blesssed me with you
the very day you came to me
my hole life became brand new eh eh
because of you eh eh
oh baby,oh baby
i see me in your eyes
oh baby,oh baby
i see love in your smile
you tell me kuchi kuchi ah
i understand
you tell me kuchi kuchi ah

(chorus)
oh baby, oh baby
kuchi kuchi ahhh
oh baby,oh baby
kuchi kuchi ahhh
oh baby,my baby
kuchi kuchi ahhh
oh baby,pretty baby
kuchi kuchi ahhh

Yeah ni kweli kabisa mkuu comment yako nimeipenda ni vema wakaweka bayana issue yote ilivyo pangwa ktk kukivuruga chama na wafadhili wao walio watuma ni kina nani...?! Na hili lifanyike kupitia vyombo vya habari kweupeee ili jamii ijue kuwa hawakuonewa, baada ya hapo tutaweza kuwasamehe lkn si kuwapa vyeo ndani chama. Watabakia kuwa wanachama wa kawaida.
 
Bado ninatafakari, kwanini zito hajatoa kauli yoyote juu ya genge la wahuni wanaohamasisha watu kufanya fujo katika mikutano ya Dr Slaa?, nini msimamo wake juu ya fujo zilizojitokeza na pia atueleze Dr. Alex anaratibu fujo hizo kwa maagizo ya nani?

Walidhani Dr Slaa anatishiwa nyau.Fujo zote wanazoratibu wameshindwa kufua dafu.
 
Mtu akifuata taratibu mnachonga, asipofuata utaratibu mnachonga vile vile. Nyie ni watu wa aina gani? Zzk alisema kuwa atazifuata taratbu za chama chake kwenye mkutano wake na vyombo vya habari pale serena, sasa kama kawasilisha maelezo yake kama alivyotakiwa ina maana amekosea? Tumia akili bhana. Usitumie ma------ style.
 
Yeah ni kweli kabisa mkuu comment yako nimeipenda ni vema wakaweka bayana issue yote ilivyo pangwa ktk kukivuruga chama na wafadhili wao walio watuma ni kina nani...?! Na hili lifanyike kupitia vyombo vya habari kweupeee ili jamii ijue kuwa hawakuonewa, baada ya hapo tutaweza kuwasamehe lkn si kuwapa vyeo ndani chama. Watabakia kuwa wanachama wa kawaida.

Hakuna hata mmoja wao atakayepewa tena hata uenyekiti wa Tawi.

Binafsi napendekeza wakiendelea kuwa wanachama wasipate hata haki ya kugombea Ubunge.Usaliti wao ulikuwa mbaya sana.
 
Ukitaka ujue cdm ndio chama chenye vilaza basi weka uzi wowote ule unaoonesha kwamba chama chao kipo salama ilhali akipo salama, weka uzi wa uongo unaoiponda ccm harafu usome comment zao ndio utajua IQ zao zilivyo yaani ni vilaza namba 1, nilishawahi kuwapima kwa njia hiyo, wao ni ushabiki tu hata kwa mambo yasiyo na ukweli wowote! mf. mleta uzi ametoa habari bila kuweka source, ingekuwa ni imeletwa na mwana-ccm kama Faiza foxy au katavh ungesikia "weka source", hii imefanya akili zao zipumbazike ili zisiweze kupambanua kati ya kweli na uongo, ili waendelee kuibiwa kimachomacho na kusahau wajibu wao kama watanzania. MLETA UZI WEKA SOURCE..
 
Mtu akifuata taratibu mnachonga, asipofuata utaratibu mnachonga vile vile. Nyie ni watu wa aina gani? Zzk alisema kuwa atazifuata taratbu za chama chake kwenye mkutano wake na vyombo vya habari pale serena, sasa kama kawasilisha maelezo yake kama alivyotakiwa ina maana amekosea? Tumia akili bhana. Usitumie ma------ style.

Na ndiyo maana CCM wameitisha mkutano Serena ili wapate nafasi tena kutukana Kamati Kuu na Uongozi
 
Zitto hata ukirudi chadema ukiitisha mkutano nani atakusikiliza?
 
Last edited by a moderator:
Sio kila taarifa ya chama iwekwe hapa, chadema ijifunze kutunza siri. Lakini pia kama zitto ana mapenzi na chama chake, kwa nini asikanushe uovu uliotokea kigoma? Binafsi napata shida sana juu ya uzalendo wa zitto kwenye chama chake!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom