Zitto Kabwe na Vicky Kamata mwacheni hayati Magufuli apumzike kwa amani huko mbinguni

Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.

Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.

Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Mkuu umejuaje kwamba aliyeenda yuko mbinguni kwa baba vp ulimtembelea huko?
 
Ukitubu dhambi zako wewe mwenyewe kabla hujatwaliwa unakwenda mbinguni.

Tubuni dhambi zenu mpate kuurithi ufalme wa mbinguni!
 
Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.

Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.

Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Hawa ndio team Msonga originally

Pumbavu zao shamba la Bibi!!!!
 
Ukipakwa mafuta matakatifu kabla ya kifo unapata msamaha wa dhambi zako zote unazozifahamu na usizozifahamu.

Hayati Magufuli alipatiwa sakramenti hii na kardinali Pengo!
Niko skeptic na hii myth ya mafuta matakatifu.

Yesu alisema yeyote atakayemkiri kwa kinywa chake na kuomba kusamehewa dhambi zake ataokolewa.

Binadamu tunajitoa ufahamu na kuingia mitego ya adui.

Mafuta matakatifu yaliisha maana yake pale alipozaliwa Yesu Kristo. Baada ya hapo kila kitu ni kwa Imani.

Tuache kasumba.
 
Mafuta ni ishara tu.

Tendo kuu ni sala ya toba!
 
Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.

Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.

Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Hiki kikundi kipo chini ya kikwete.Zitto Kabwe,Diallo,Vicky Kamata.Yaan wamepanga kufanya hivyo.Ndio Maana utaona hata Amos Makalla ,ni mkuu wa,Mkoa .Ni level ya chini sana kulinganisha na Urais.Eti naye anamlaumu Rais Magufuli.Bagonza anatudanganya kuwa kikwete hayupo kwenye ushauri wa SSH.Lakini yanayotokea ni dhahiri yanaanzia kwa Kikwete. Na pia huyu SSH inaonekana yupo kuonyesha kuwa Magufuli hakuwa sawa.Yeye ndio bora.Lakin wakati utatoa majibu,na wanafiki wote wataumbuka.Kwani wanachofanya ni upuuzi mtupu.
 
Back
Top Bottom