Zitto Kabwe, Meles Zenawi Role Model Politician

Status
Not open for further replies.
lema alitoa kauli humu jf ya kumkashifu kafulila leo lema anategemea posho za M4C ili aishi.kafulila ni mbunge kama kawaida!mambo ya siasa.

.
Kwa hiyo unasema alichokuwa analilia katika kikao cha nec ya Nccr ni ubunge? Mbona alie basi wakati ubunge anao? Au ulionekana kwa namna fulani upo hatarini kupotea?
Mh Zitto hayupo ndani ya chama chake kama mnavyopropagate. Mbona wote mnaomtumia Zitto kama fimbo yenu ya kuibeep Chadema ni magamba ya nyinyiem na baazi ya vilaza wa Cuf waliotumiwa na Jk katika chuki cha kidini 2010?
Mh Zitto angekuwa na akili ndogo ya ya kushikiwa kama ninyi angeliwaamini kama pia mlivyo mwingiza mkenge marehemu Malima kwa kumjaza utumbo kuwa angeliweza kuichukua nchi kwa mtaji wa kidini.
.
 
.....Kwa mujibu watu wa karibu wa Zitto Kabwe
Wewe sio mtu wa karibu umejuaje hizi habari...
Zito ni mpuuzi kama wewe...kama ni kenge basi amekosa mkia na anashindwa kuogerea ziwani...
Zito hawezi kua Raisi ila atakua RAHISI....
Hatuwezi kufanya makosa tena ya kuweka ikuru wasanii mkuu...fungua macho
Mwambie akaoe kwanza na kujifunza kuwa na familia...tukiona ameweza kumudu hayo which means atakua na miaka zaidi ya 10 tutamfikiria...
Naomba cha kuwasemea watu wakati ukweli nikua UNAWAKILISHA MAWAZO YAKO
KUA JASIRI NA KUSEMA ULILO NALO MOYONI...MBONA JF MAALA PAKE MKUU
Sasa yaniniunajifanya unanukuu Wafuasi wa Zitto...oohh wafuasi wa mboye..wewe jipange simama kama wewe watub tukusute then uendelee na maisha
TII KIU YAKO-CHADEMA-2015

zitto atawatoa upepo mwaka huu
mkakati wenu wa kumuua kwenye maandamano umegonga mwamba.
 
.....Kwa mujibu watu wa karibu wa Zitto Kabwe
Wewe sio mtu wa karibu umejuaje hizi habari...
Zito ni mpuuzi kama wewe...kama ni kenge basi amekosa mkia na anashindwa kuogerea ziwani...
Zito hawezi kua Raisi ila atakua RAHISI....
Hatuwezi kufanya makosa tena ya kuweka ikuru wasanii mkuu...fungua macho
Mwambie akaoe kwanza na kujifunza kuwa na familia...tukiona ameweza kumudu hayo which means atakua na miaka zaidi ya 10 tutamfikiria...
Naomba cha kuwasemea watu wakati ukweli nikua UNAWAKILISHA MAWAZO YAKO
KUA JASIRI NA KUSEMA ULILO NALO MOYONI...MBONA JF MAALA PAKE MKUU
Sasa yaniniunajifanya unanukuu Wafuasi wa Zitto...oohh wafuasi wa mboye..wewe jipange simama kama wewe watub tukusute then uendelee na maisha
TII KIU YAKO-CHADEMA-2015
hata kama kilimanjaro na arusha hawatamchagua sababu ya ukabila na udini wao. bado zitto atatkuwa rais wa nchi hii iwe mnataka ama hamtaki.
 
Mbona mna maneno mengi? Tusubiri muda ufike msitu sahahurishe mauaji mlio fanya kupitia policcm.

naomba nikumbushe.
deus mallya ni kambi ya nani vile?....ameahidiwa na mbowe kugombea ubunge wapi vile?...amemuua nani vile mwaka 2008?...alitumwa na nani vile?....leo yuko wapi vile?...
 
Mbona mna maneno mengi? Tusubiri muda ufike msitu sahahurishe mauaji mlio fanya kupitia policcm.

deus mallya hivi sasa amebadili jina anajiita hivi....soma na comments yake anayojidai kaitoa sehemu
[h=6]Deus Amani Jr.

[/h][h=6] Kuanzia leo naacha rasmi kuzungumzia ishu za SIASA kwenye Facebook, BBM, Twitter, Bar na popote nitakapokaa na badala yake naanza kutenda maana nimegundua watanzania tunaishia kuongea tuu ila hatufanyii kazi yale tunayoyaongea na kuyaandika kwenye mitandao ya kijamii na sehemu tunazokaa na kupiga story. Sasa me nakuwa wa kwanza yani ni mwendo wa vitendo tu no maneno more!!! ukipenda nifuate usipopenda baki na mijineno yako kiroho saafi... (Nimeipenda hii kutoka kwa mdau mmofa FB)..

[/h]
 
vipofu wakikokotana!

[h=6]Deus Amani Jr.(deus mallya a.k.a .......)

Back
Top Bottom