Zitto Kabwe kaingia kwenye ndoa?

alimwambia mrembo moyo wangu umenituma kwako nkwambie maneno haya nakupenda nataka nikuoe ila umesema nikuachie namba uujibu usinijibu mimi akampa namba afa akawasha gari akasepa
Hahaha simpatii picha Zitto akishusha mistari kwa binti lol
 
Diva km linah tu kwa amin wamegongwaaaa weeeeeeee ndo wameolewa wenzao
 
alimwambia mrembo moyo wangu umenituma kwako nkwambie maneno haya nakupenda nataka nikuoe ila umesema nikuachie namba uujibu usinijibu mimi akampa namba afa akawasha gari akasepa
Kama ni kweli kwa sound hizi alikubali basi kutongoza imekuwa kazi rahisi sana au jina lilimbeba
 
Kwa nini Waislamu wote akipata pesa basi ni lazima ataoa Mwarabu au Mwanamke aliye na Uarabu? Nina uhakika Zito kabwe angekuwa hana fedha angeoa Mwanamke wetu wa Kitanzania mweusi kama mimi 100%!
Huyo mwanamke ni mzungu( mixed) sio muarabu
 
Back
Top Bottom