Zitto Kabwe kaingia kwenye ndoa?

Zitto Kabwe kaingia kwenye ndoa?

zitto ana hesabu za mbali sana anataka first lady awe wa ukweli nadhani hapo demu ataingia english medium

Sure.
Ni suala muhimu sana kwa serious politicians (Japo si wote)
Wakati mwingine huwalazimu kuingia katika mahusiano/ndoa na wanawake ambao hawawapendi kiuhakika, ila ni kutokana na muonekano wao, mara nyingi una-add value katika harakati zao za kisiasa majukwaani.
 
umenikumbusha Lazaro Nyalandu anavyotamba na Faraja Majukwaani
 
Afadhali aache sasa zile tabia zake za kuokota ile mizigo ya car wash Swiss pub pale usiku usiku.
 
Doh,jaman hongera hata huyo binti etu hapo kwenye avatar anaonesha kama mamake ni mzuri na model kama Salma Msangi.
Nasikia binti ni mdogo wa mjane wa filikunjombe sijui kweli au la
 
Hongera Jemedari wa vita,Rais ajaye Zitto Ruyagwa Zuberi Kabwe, ndoa iwe njema! magogoni inakusubiri mkuu
 
Huyu Cheupe atakuwa yule wa Kitambo one day nilimkuta pale Holiday Inn au huyu ni Mpya?
 
Back
Top Bottom