LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,457
Hahaha simpatii picha Zitto akishusha mistari kwa binti lolalimwambia mrembo moyo wangu umenituma kwako nkwambie maneno haya nakupenda nataka nikuoe ila umesema nikuachie namba uujibu usinijibu mimi akampa namba afa akawasha gari akasepa