Zitto Kabwe atakuwa live hotmix EATV

Zitto Kabwe atakuwa live hotmix EATV

watu wanachukua kadi za chama kama njugu,moshi kina wanachama wapya 200 ambao wamemsimamisha mwenyekiti wa ACT ili wapatiwe kadi pamoja na kufungua ofisi-Zitto Kabwe
 
ila kwa watangazaji wetu hakuna maswali ya msingi yataulizwa....

kama umuhimu wa mjadala walitakiwa kuwepo nguli wa siasa...watu wenye maswali ya msingi!!!!..hapa naona zitto ndo anamuuliza...mtangazaji...
 
watu wanachukua kadi za chama kama njugu,moshi kina wanachama wapya 200 ambao wamemsimamisha mwenyekiti wa ACT ili wapatiwe kadi pamoja na kufungua ofisi-Zitto Kabwe

sio huko tu huku kijijini kwetu usariva wanakijiji wamechukua kadi nyingi sana za ACT
 
"Chadema waliwatukana cuf kuwaambia ni chama cha mashoga,hivyo hii ni siasa watu wabakize maneno." -Zitto kabwe
 
Jamani zitto kapanic leo, anajibu kikauzu hakya nan anahaibisha hapo
 
nitamshangilia kiongozi anaetaka kunikwamua kimasikini na mwenye nia hiyo
SIO ANAEONGEA KAMA KASUKU ILI KUPATA RUZUKU ZA CHAMA.

Ah ah ah ah...ww team zitto mkuu🙂🙂🙂
 
I
Maswali ya papo kwa papo na yaliyojaa mitego. Zitto haogopi vyombo vya habari. Natamani Mbowe siku moja aje EATV apate maswali kama haya tumuone.

atalizungusha jicho kama anangatwa na mdudu
 
Back
Top Bottom