Zitto Kabwe atakuwa live hotmix EATV

Zitto Kabwe atakuwa live hotmix EATV

ACT-WAZALENDO ni moto wa pumba,ambao ukiuangalia hauonekani,ukitia mguu unaungua.
Wanaoisema ACT vibaya waweke akiba ya maneno
 
I
Maswali ya papo kwa papo na yaliyojaa mitego. Zitto haogopi vyombo vya habari. Natamani Mbowe siku moja aje EATV apate maswali kama haya tumuone.

MBOWE au Lema,SLAA,MSIGWA,SUGU
 
Nimeipenda interview yake.Jamaa yuko vizuri kiukweli ila muda mwingi kautumia kwenye kuelezea na kusifia chama chake kipya.
 
Akafie mbali,yaani huyu jamaa namchukia sana kwa sasa maana kinyonga sana..

na wewe ukafie mbaliiii

Huu uzi umeufungua wa nini
hukuona chanel ingine hadi u tune EATV
mahaba yakizidi hugeuka chuki karibu uchukue kadi au kafie ufipani ukooo
 
Ayatolah Zitto kama sio tamaa za haraka basi angekuja kuwa mwanasiasa hodari duniani
Hadi sasa kwa siasa za TZ Zitto ndio mwanasia makini! kushinda hao majazba na matusi kina Lissu. Akiwa Bungeni utdhani amekalia Gunzi kila wakati anataka aongee yeye tu.
 
Zitto haeleweki hata kidogo sijui ndio kuwa ana stress,leo ameogopa kuiponda ccm au kikwete anadai kafanya mengi mema,atakuwa anataka akivuruga vyama pinzani basi baadae aje ajiisogeze ccm
 
Hadi sasa kwa siasa za TZ Zitto ndio mwanasia makini! kushinda hao majazba na matusi kina Lissu. Akiwa Bungeni utdhani amekalia Gunzi kila wakati anataka aongee yeye tu.

Ww utakuwa mwana chama mtiifu wa ccm
 
I
Maswali ya papo kwa papo na yaliyojaa mitego. Zitto haogopi vyombo vya habari. Natamani Mbowe siku moja aje EATV apate maswali kama haya tumuone.

Mbowe ndio amemlea zito huna hoja
 
Zitto haeleweki hata kidogo sijui ndio kuwa ana stress,leo ameogopa kuiponda ccm au kikwete anadai kafanya mengi mema,atakuwa anataka akivuruga vyama pinzani basi baadae aje ajiisogeze ccm
Mkuu wewe uko dunia ipi? Wewe unaweza kumsema vibaya mfadhiri wako?
 
Hahaha hii Catch phrase imekaa poa sana: "Chadema waliwatukana cuf kuwaambia ni chama cha mashoga,hivyo hii ni siasa watu wabakize maneno".

Kama unaungana na shoga na unafanya mambo kishoga na wewe unakuwa nani?.

Leo Chadema kimeungana na CCM -B yaani CUF, nao wanakuwa CCM-C
 
Back
Top Bottom