Zitto haeleweki hata kidogo sijui ndio kuwa ana stress,leo ameogopa kuiponda ccm au kikwete anadai kafanya mengi mema,atakuwa anataka akivuruga vyama pinzani basi baadae aje ajiisogeze ccm
Hahaha hii Catch phrase imekaa poa sana: "Chadema waliwatukana cuf kuwaambia ni chama cha mashoga,hivyo hii ni siasa watu wabakize maneno".
Kama unaungana na shoga na unafanya mambo kishoga na wewe unakuwa nani?.
Leo Chadema kimeungana na CCM -B yaani CUF, nao wanakuwa CCM-C
Mtahangaika sana!.hamtaki kuamini kua threads Zenu zinabuma sasa hivi?,,this is tz buana only 3wks in media tuu,shenztype act