Zitto Kabwe atakuwa live hotmix EATV

Zitto Kabwe atakuwa live hotmix EATV

Chama cha ACT hakiungi mkono katina inayopendekezwa
 
Akafie mbali,yaani huyu jamaa namchukia sana kwa sasa maana kinyonga sana..
 
Kweli wakuu nimelipita gari la Zitto Hammer pale ofisi za EATV.
 
kigeugeu huyu..leo ile kauli yake tusiwaamini wanasiasa imetimia.. Anasema atagombea ubunge
 
Zitto ungegombea Kigoma lakini mambo ya Ubungo, Kahama, Segerea, Kawe ungeachana nayo.
 
kigeugeu huyu..leo ile kauli yake tusiwaamini wanasiasa imetimia.. Anasema atagombea ubunge

Mkuu, Zitto hakusema hatagombea Ubunge ila alisema hatagombea Kigoma Kasikazini
 
Zitto ungegombea Kigoma lakini mambo ya Ubungo, Kahama, Segerea, Kawe ungeachana nayo.

Kwenye hayo majimbo atapata kichapo kitakatifu kabla ya misa ya alfajiri kwisha
 
Huyu mwandishi anampanikisha Zitto na maswali
 
Huyu host wa kipindi anauliza maswali ya kitoto.

Anarudia rudia kuuliza maswali yaliyokwisha jibiwa.
Hakujiandaa.
 
kigeugeu huyu..leo ile kauli yake tusiwaamini wanasiasa imetimia.. Anasema atagombea ubunge

alisema hatagombea kigoma lakini hakusema kwamba hata gombea

naona misuule ya ufipa yote imetoa macho inaangalia
hahahhah si mlisema kashuka kisiasa
mbona wote mnamuangalia
 
A.C.T...kama moto wa pumba...juu uoni kitu...sasa kanyaga ndan uone....🙂ref zitto
 
alisema hatagombea kigoma lakini hakusema kwamba hata gombea

naona misuule ya ufipa yote imetoa macho inaangalia
hahahhah si mlisema kashuka kisiasa
mbona wote mnamuangalia

Uwe na kumbukumbu alisema mwanzoni anaachana na siasa aende kufundisha
 
Back
Top Bottom