Post gani hiziKiongozi wa Chama cha ACT-WAZALENDO Mwami Zitto Kabwe atakuwa Live EATV kuanzia saa kumi na mbili jioni mpaka saa mbili usiku.
Tafadhari usikose kumtazama na kumsikiliza Mzalendo Mwami Zitto Ruyagwa.

Bora niangalie katuni
Kiongozi wa Chama cha ACT-WAZALENDO Mwami Zitto Kabwe atakuwa Live EATV kuanzia saa kumi na mbili jioni mpaka saa mbili usiku.
Tafadhari usikose kumtazama na kumsikiliza Mzalendo Mwami Zitto Ruyagwa.
Atazunguka tv na redio zote na kote huko analiwa pesa za kujitangaza
Naona povu linawatoka sana ufipa hapakalik saiv mambo magumu sanaaa,ha ha haa huyo ndo Zitto kiboko yenu
ngoja aione gharama ya kujenga chama,af baadae asalitiwe na alowakaribisha ndo atamuelewa Mbowe
Kiongozi wa Chama cha ACT-WAZALENDO Mwami Zitto Kabwe atakuwa Live EATV kuanzia saa kumi na mbili jioni mpaka saa mbili usiku.
Tafadhari usikose kumtazama na kumsikiliza Mzalendo Mwami Zitto Ruyagwa.
Wahenga walisema kizuri cha jiuza na kibaya cha jitembeza. Hivyo zitto atahangaika sana kwenda media mbali mbali kila kukicha kujitangaza na kutangaza kampuni yake binafsi act. Lakini amechelewa maana watanzania wa leo wanaelewa chenga na mchele walishaamka. Na ukiwa msaliti wanakuangalia kama hawakuoni ila mtajua hayo oct kwenye sanduku la kula na ndipo mtakapojizalau na kumpamba huyo zana za kilimo
Hakika nchi itasimama kwa lisaa kumsubiri kiongozi wa wazalendo!
Asante sana Mwl.Kaijage.
Tuko pamoja wazalendo wote tutakuwa mbele ya TV. Yaani naona kama muda umechelewa kufika.
Haswa kwa sababu wamedhamiria kuiondoa serikali dhaifu ya CCM lazima nchi isimame....
Tunakusubiri shujaa wa wengi wazalendo