ndulazi ndula
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 515
- 94
Tunakusubiri shujaa wa wengi wazalendo
Mhuni tu huyo mpenda sifa,anajifanya kila kitu yeye lazima anahusika.
Tunakusubiri shujaa wa wengi wazalendo
Kiongozi wa Chama cha ACT-WAZALENDO Mwami Zitto Kabwe atakuwa Live EATV kuanzia saa kumi na mbili jioni mpaka saa mbili usiku.
Tafadhari usikose kumtazama na kumsikiliza Mzalendo Mwami Zitto Ruyagwa.
Tena ikiwezekana chadema wasimuone huru lzm tutatuma maafisa usalama wa chadema wapenye act watuletee habari na mipango yao yote kama ambavyo ccm walimpandikiza zito chadema.
Dhambi unalipwa hapa hapa duniani,hata ifbi imepandikiza maafisa usalama wao alshabab ili kupata taarifa
Hakika nchi itasimama kwa lisaa kumsubiri kiongozi wa wazalendo!
Kiongozi wa Chama cha ACT-WAZALENDO Mwami Zitto Kabwe atakuwa Live EATV kuanzia saa kumi na mbili jioni mpaka saa mbili usiku.
Tafadhari usikose kumtazama na kumsikiliza Mzalendo Mwami Zitto Ruyagwa.
Mlikuwa mmepotelea wapi enyi wazalendo wa ACT? Au ndo yale yaliyotegemewa kwamba ndani ya WK 2 mtakuwa mmepoteana? Hongera Mwl K.Hakika nchi itasimama kwa lisaa kumsubiri kiongozi wa wazalendo!
Nilisema hapa ni wiki moja tu tutakuwa tumeisahau ACT
Zitto endelea kuwapa dozi. Bado kidogo watasalimu amri na kujisalimisha ACT.
Kiongozi wa Chama cha ACT-WAZALENDO Mwami Zitto Kabwe atakuwa Live EATV kuanzia saa kumi na mbili jioni mpaka saa mbili usiku.
Tafadhari usikose kumtazama na kumsikiliza Mzalendo Mwami Zitto Ruyagwa.