Zitto Kabwe asema Kikwete alimwambia CCM hakina muda mrefu madarakani na kumshauri abaki upinzani. Aliahidiwa uwaziri wa fedha iwapo angejiunga CCM

Attachments

  • 20240209_070737.jpg
    20240209_070737.jpg
    29.7 KB · Views: 2
Maneno ya Zitto Kabwe ni ushahidi usiotia shaka kuwa alikuwa anatumiwa na TISS kwa niaba ya CCM kuidhoofisha Chadema tuhuma ambazo ndiyo zilimfufukuzisha Chadema.

Zitto Kabwe anaomba usajili CCM kijanja
Zitto alifukizwa chadema kwa kuunyemelea uwenyekiti, wenye akili tunalijua hilo, nyie nyumbu endeleeni kushikiliwa akili. Umeenda kwenye maandamano lakini?🤣🤣🤣
 
Mnyonge mnyongeni haki yake Mpeni Zitto Kabwe kasema ukweli CCM ingekufa 2015

Mungu wa mbinguni mbariki Dr Kikwete kwa Kumleta Shujaa Magufuli aliyepindua meza

Mungu wa mbinguni mbariki Zitto Kabwe kwa kutufumbua macho Watanzania

Nawatakieni Dominica Njema 😀
 
Kikwete aliona CCM inakufa muda mrefu tangu 2012 alishaona dalili....
 
Zitto alifukizwa chadema kwa kuunyemelea uwenyekiti, wenye akili tunalijua hilo, nyie nymbu endeleeni kushikiliwa akili. Umeenda kwenye maandamano lakini?🤣🤣🤣
Wenye akili timamu tunajua jinsi Zitto Kabwe alivyotumiwa na TISS kuihujumu Chadema na ushahidi wote uko humu .
 
Wenye akili timamu tunajua jinsi Zitto Kabwe alivyotumiwa na TISS kuihujumu Chadema na ushahidi wote uko humu .
Huko ni kushikiliwa akili na kina Mbowe, huo ndio Unyumbu wenyewe. Na Chacha wangwe nae alitumiwa na nani?
 
Back
Top Bottom