Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,573
Hahahaaaaaa!Hivi ni nani anayetoa vibali vya kwenda nje ya nchi kiholela? nafikiri kuna sehemu masharti yamelegezwa ndio maana watu wanakwenda nje hovyo bila shuguli maalumu zaidi ya kwenda kuichafua nchi nje kwa mabeberu