Zitto Kabwe aivua nguo serikali ya Magufuli huko Ughaibuni

Zitto Kabwe aivua nguo serikali ya Magufuli huko Ughaibuni

Kiasi Tundu Lissu Anakunywa Maji anamuachia Mic Zitto Kabwe hakuna kulala,sasa naona hasira zote wanamaliziwa wakulima wa Korosho.
Ndio mwanasiasa pekee wa kweli sliyabakia
Nimemuelewa sana alivyo sema haisemi nchi ila anaisema serikali

Nchi= ccm +wapinzani +wasio na chama

Serikali= ccm +raisi + mawazili + RC na DC + wabunge wa ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arab Contractors bado wanakula "Tizi"hilo Bwawa litakwisha lini sasa?!
U3thJJ-1.gif
 
Utukufu wa Mungu yupi jamani? Mungu hakumbatii unafiki kama mnavyodhani nyie wanasiasa. Zitto ni mnafiki mkubwa. Ni kati ya wanasiasa ambao ni hatari kupewa madaraka ya juu.
Asiye mnafiki ni yupi huyo ?!
Jiwe ?!
Aliyetuletea kivuko cha 1978 na kukifanya mizinga isiyojadiliwa !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utukufu wa Mungu yupi jamani? Mungu hakumbatii unafiki kama mnavyodhani nyie wanasiasa. Zitto ni mnafiki mkubwa. Ni kati ya wanasiasa ambao ni hatari kupewa madaraka ya juu.
Hivi huyu anayesema wakulima wa korosho wanadhulumiwa na asemaye warudishie korosho wakulima na warejeshe pesa korosho zomeoza nani hasa mnafiki hapo?
Hata kama akili yako imedumaa kiasi gani bado hilo unashindwa kuliona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hebu fikiria wanakuja kwa mbwembwe za vitisho vya Kijeshi kuja Kuchukua Korosho zako,halafu wanarudi na Korosho zako Zikiwa Zimeishaoza na kudai Chenchi..hii Awamu ina Laana.
Wananchi wangekuja na Utaratibu was bidhaa ikishanunuliwa hairudishwi.Kwa hiyo Kila mkulima anarudishiwa korosho zake au ndo unachukua gunia lolote zile hata Kama sio zako
 
Wananchi wangekuja na Utaratibu was bidhaa ikishanunuliwa hairudishwi.Kwa hiyo Kila mkulima anarudishiwa korosho zake au ndo unachukua gunia lolote zile hata Kama sio zako
Anashikishwa halafu utajiju.Hapa Kazi tu!
 
Tuna rais wa ajabu haijawahi kutokea.
Katika historia wameshawahi kutokea miaka ya zamaniii huko sio leo
Kama huyu hata kusoma hajui alikuwa kazi yake ni kuuwa haswa wasomi lakini angalao anajitahidi kusoma kama mtoto wa Darasa la Kwanza

Huyu wa hapa nyumbani huwa hasomi popote yeye ni hasira tu.
 
Back
Top Bottom