Zitto Kabwe aivua nguo serikali ya Magufuli huko Ughaibuni

Zitto Kabwe aivua nguo serikali ya Magufuli huko Ughaibuni

Wewe hebu fikiria wanakuja kwa mbwembwe za vitisho vya Kijeshi kuja Kuchukua Korosho zako,halafu wanarudi na Korosho zako Zikiwa Zimeishaoza na kudai Chenchi..hii Awamu ina Laana.

Wewe hebu fikiria wanakuja kwa mbwembwe za vitisho vya Kijeshi kuja Kuchukua Korosho zako,halafu wanarudi na Korosho zako Zikiwa Zimeishaoza na kudai Chenchi..hii Awamu ina Laana.
 
Attachments

  • kp+feb+21+2019.jpg
    kp+feb+21+2019.jpg
    23.8 KB · Views: 27
Huyo mswahili anayemhoji Zitto ni mkongo ndugu yake Zitto ambaye pia ni raia wa Kongo mwenye uraia huko.Zitto Anaongea na mkongo mwrnzie kama maigizo baada ya kupanga kuwa tuongee nini na tuji selfie
 
Lissu+Kabwe =CCM kutembezwa uchi..hahahahaaaa
 
Watapiga kelele but nothing will affect.....JPM ni konki kwenye misimamo na kile anachokiamini na kukisimamia
 
Hahahahaha... Huyu ea kwetu anapiga free style.
Katika historia wameshawahi kutokea miaka ya zamaniii huko sio leo
Kama huyu hata kusoma hajui alikuwa kazi yake ni kuuwa haswa wasomi lakini angalao anajitahidi kusoma kama mtoto wa Darasa la Kwanza

Huyu wa hapa nyumbani huwa hasomi popote yeye ni hasira tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakulima wameingizwa kwenye deni lisilo la lazima.
 
Acha kufikiri kiduchu lolote linaweza kutokea hasa ukizingani jiwe kuna vipengele vingi tu anawazingua
 
Back
Top Bottom