minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,495
- 22,499
CCM inawadharau watanzania kwa kiwango cha kutisha ebu fikiria washauri wa CCM ni akina Le mutuz kubwa jinga unategemea nini zaidi ya dharau na vioja??Wakulima wengine Hawajalipwa hata senti tano
Huku wakuu wa Mikoa wakisindikiza Ndege tupu na kwenda Kufanya Shopping Lusaka na Harare.