mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,468
- 6,022
Wewwee Bashite siku hizi anapeleka masangomba kibao ikulu eti kumloga trump ili asimchukulie hatua jiwe. Pia anataka lissu awe bubu. Unamkumbuka tibaigana alianza kuropoka jinsi alivyotumwa sue wamempoison sasa ni bubu.Watapiga kelele but nothing will affect.....JPM ni konki kwenye misimamo na kile anachokiamini na kukisimamia
Kuhusu lissu ni kama jini lililovunja chupa hakuna jinsi jiwe hachomoki