Zitto Kabwe aivua nguo serikali ya Magufuli huko Ughaibuni

Zitto Kabwe aivua nguo serikali ya Magufuli huko Ughaibuni

Mpaka muathirika areje ndiyo hayo yatakamilika vinginevyo ni kukwepa kwa maksudi mwendelezo wa uchunguzi hata wewe km hayo madai yako unaweza kuyathibitisha nenda kwenye vyombo vinavyofanya huo uchunguzi ili utoe ushirikiano. Circumstancial evidence mda mwingi sana haisaidii hususani pale mwathirika anapokua anawezapatikana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna vyombo vya uchunguzi Tanzania kuna taasisi za ccm zinazowatii viongozi wa juu.
 
Hapo bado aelezee na watu wanavyotekwa ,uawa , fungwa kwenye viroba , muuaji ya mkiru ,uminywaji wa demokrasia na haki za binadamu ,Yote ayaseme sijui kwa nini kayabakiza ili dunia imjue malaika mkuu wa chato na vitendo vyake .
 
Wewe hebu fikiria wanakuja kwa mbwembwe za vitisho vya Kijeshi kuja Kuchukua Korosho zako,halafu wanarudi na Korosho zako Zikiwa Zimeishaoza na kudai Chenchi..hii Awamu ina Laana.
Hii awamu ina LAANA Mkuu..
Wee@MsemajiUkweli wee huwa unasifia kila kitu kinachofanywa na huyu Dikteta..mbona hausemi dhuluma kubwa kwa Wakulima wa Korosho?
 
Utukufu wa Mungu yupi jamani? Mungu hakumbatii unafiki kama mnavyodhani nyie wanasiasa. Zitto ni mnafiki mkubwa. Ni kati ya wanasiasa ambao ni hatari kupewa madaraka ya juu.
Kuzid unaemlamba matako na ukoko wake wa mavi.
 
Kuzid unaemlamba matako na ukoko wake wa mavi.
Usiwe na mawazo kuwa nikimsema mwanasiasa wa upinzani basi niko upande wa CCM! Upinzani wapo wanasiasa wengi wazuri lakini siyo Zitto. Na huko CCM nako kuna wengi sana wabovu na wanafiki!
 
Wao kilichowafikisha hapo walipo ni akili, sisi huku kwetu kuanzia rais mpaka sisi wananchi wa kawaida tunategemea ushirikina, hapo tutatoboa kweli.
Kuna wakati utafika Akili zitatukaa tutachana na hayo mambo ya kuamini ushirikina kwakua namini si kila mtanzania anamini mambo hayo. Hata SERIKALI haiamini ushirikina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakulima wa mahindi tulivyokuwa tunanyooshwa wakulima wa korosho walijiona wako salama.

huyuu jamaa lengo lake nikuharibu kila kona.
huyu inawezekana ni pandikizi la majirani zetu.........


nina mashaka na urafik wake na kagame na odinga........


tanzania ilikua threat kwa rwanda, lakn pia kwa kenya, naona wamesham-contain tayar!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtamuuua jiweeeeeee jamani biashara ya slave trade imekwisha upinzani ndio kwanza kumekucha
 
Back
Top Bottom