Zitto Kabwe aivua nguo serikali ya Magufuli huko Ughaibuni

Zitto Kabwe aivua nguo serikali ya Magufuli huko Ughaibuni

Hapo Zitto na TL wanapiga mbwa rangi tu wazungu si wajinga kihivyo. Watahangaika sana lkn watambulia patupu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama wazungu si wajinga iweje muwe na wasiwasi? Acheni waongee kila kitu kwa uhuru acheni kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi acheni unyama wenu muone kama kuna mpinzani ataenda huko ulaya kuwasema ushetani wenu
 
Hadi wewe mtumshi wa ccm unalalamika hali ngumu?

Kama alivyowaambia Mchungaji Msigwa (or was it Lema?); ccm wanachukua muda mrefu sana kuelewa wanachoambiwa. Walipokuwa wanaimba "wacha waisome namba" walidhani na kuamini kuwa wao ccm hawatahusika mambo yakiharibika. Tulipowaambia hawakuelewa ila sasa wameanza kuelewa.
 
Kama wazungu si wajinga iweje muwe na wasiwasi? Acheni waongee kila kitu kwa uhuru acheni kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi acheni unyama wenu muone kama kuna mpinzani ataenda huko ulaya kuwasema ushetani wenu
Aliyepigwa risasi aje atoe ushirikiano uchunguzi ukamilike, aliyeshtakiwa aje akabiliane na kesi yake ili sheria ifate mkondo wake na hakuna mtu ana wasiwasi na hao jamaa wao waendelee tu kuongea ongea huko soga zao zikiisha inshallah watarejea na maisha yatasonga mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utawala huu wa awamu ya tano unatumia pesa nyingi sana kwenye mambo ya hovyo hovyo kukandamiza demokrasia kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi kuwatengenezea propanganda Wapinzani kuwafanyia Uonevu kuzuia mikutano ya siasa na mambo mengi yasiyo na Tija kwa Taifa, Pesa iliyotumika kuminya demokrasia ingeelekezwa kwenye maendeleo leo hii Tanzania ingeweza kuwa ni Nchi tajiri kuliko Africa kusini.
 
Hivi huyu anayesema wakulima wa korosho wanadhulumiwa na asemaye warudishie korosho wakulima na warejeshe pesa korosho zomeoza nani hasa mnafiki hapo?
Hata kama akili yako imedumaa kiasi gani bado hilo unashindwa kuliona?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kusema ukweli kwa kuwa tu maslahi yako yamekatwa kwangu ni bora ukae kimya. Unafiki wa aina hii siutaki.
 
Hivi ni nani anayetoa vibali vya kwenda nje ya nchi kiholela? nafikiri kuna sehemu masharti yamelegezwa ndio maana watu wanakwenda nje hovyo bila shuguli maalumu zaidi ya kwenda kuichafua nchi nje kwa mabeberu
Wameenda kutembea na kutaliii
 
Katika historia wameshawahi kutokea miaka ya zamaniii huko sio leo
Kama huyu hata kusoma hajui alikuwa kazi yake ni kuuwa haswa wasomi lakini angalao anajitahidi kusoma kama mtoto wa Darasa la Kwanza


Huyu wa hapa nyumbani huwa hasomi popote yeye ni hasira tu.
Huyu na jiwe wale wale na mwisho wa jiwe utakuwa Kama wa idd amin
 
Aliyepigwa risasi aje atoe ushirikiano uchunguzi ukamilike, aliyeshtakiwa aje akabiliane na kesi yake ili sheria ifate mkondo wake na hakuna mtu ana wasiwasi na hao jamaa wao waendelee tu kuongea ongea huko soga zao zikiisha inshallah watarejea na maisha yatasonga mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app

Uchunguzi wa awali uonyeshe ni nani aliwatoa walinzi wa Getini na pia uchunguzi uwahoji majirani na uchunguzi ueleze ni nani alizing’oa cctv camera tuanze na hao kwanza kabla ya Tundu Lisu kurejea, kesi zake unazodai sheria ifate mkondo wake kwa sasa tambua sheria hazifuati mkondo pindi mpinzani akipelekwa mahakamani bali sheria zinazotumikani za Amri toka juu kwa Naibu Rais ndugu Daud Arbaty Bashite na mtukufu malaika toka chato, mahakama hawafanyi kazi kwa mujibu wa sheria bali kwa mujibu wa zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM pamoja na mshauri wake mkuu Bashite.
 
Siasa za Kikomunisti za Magufuli zawaliza wakulima wa Korosho.
Wakulima warudishiwa korosho zikiwa zimeoza.
[emoji38][emoji38][emoji38]
149738.jpeg
 
Back
Top Bottom