Zitto Kabwe: Adui, Rafiki, Kipenzi

Juliana Shonza kwanza hakuna Chuo Kikuu cha Mlimani. Pili,kiingereza hakikupendi hivyo achana nacho. Tatu,hongera kwa kujua kutumia computer na mitandao kwa ujumla. Nne,CHADEMA na Zitto hawakuhusu. Tano,maDC wameshateuliwa. Sita,msalimie shemeji.

Teh teh teh teh he
 
Last edited by a moderator:
Eti ndoa yako, kwani wewe una ndoa na Mwingulu. Kwa akili yako nani atakuoa wewe, labda awe zimefyatuka. zaidi wewe toa uroda tu watu wafaidi. Nasitikika kuona unazidi kuwa pasi na kiuno kulegea. Hizo ni dalili za kukongoroka



 
Jamani ...sasa mbona kila siku unaiwaza chadema .......ulishakataliwa huku...Na huyo x wako alishakataliwa chadema.....Endeleeni na vyama vyenu vipya
 
Kwo kwi kwi kwi kwi mtu ukipata zoba akakuoa tulia asijue Historia yako ya nyuma
UTAFANYA WÀTU WAJUE KWAMBA "ULIWEKA CHUPI ZAKO, (UNDERWEAR) KWENYE BEGI LA ZITO ILI AGOMBANE NA GIRL FRIEND WAKE AKUOE WEWE DODOMA 2011"
 

Sisi sio vijana wa Chadema ....sisi tunakata ISHu humu ndani toka miaka Hiyo hata kabla ukiwa umemaliza form six " Zitto hajakutafuta" .....Patamu hapo alikujua Mapema ....

Hapa tunachokihoji ni CONTENT ...dhaifu ya andiko lako la kujiliwaza ambalo linafanya tuhoji uwezo wa vyuo vyetu hasa kwa kuangalia uwezo wa wahitimu Kama wewe kua ARGUE ...
 
I find you weeee....but where. Where are you my dear.
 
Juliana waliokuja sio wote ni vijana wa Chadema, sisi wengine sio Chadema, ila kiukweli, una matatizo ya 'deep rooted neurosis' bila wewe kujitua!. Usipoitibu, utapata 'frigidity!".

Pasco

Ni kawaida ya wafuasi wa chadema kuikana mbele ya macho ya watu.,labda ni kutokujiamini lakini najua ni kwa sababu ya ujinga, ujinga wa kutoelewa nini hasa wanakiamini na kukifuata. Nikikuuliza utaniambia wewe ni mwanaharakati.,nitashindwa kukuelewa unatofautisha vipi harakati zako na chadema.

kimsingi, Pasco wa JF, umeendelea kuonyesha ni kwa kiasi gani wewe ni mtu wa kudharauliwa, kwa matusi yako ambayo umejitahidi kuyatoa kwa ustadi mkubwa ili ushangiliwe na wajinga wenzako wa chadema...

zamani watu walikuona ni mtu mwenye kujielewa kiasi ila kila uchao unapoteza mvuto na utabaki kuwa sawa na manung'ayembe mengine yaliyojaa humu JF
 
SIJAONA KATIKA COMMENTS ZAKO ZOOOTE kwenye thread hii ambayo imejadili contents..,zote zinataja jina July na kumshambulia, hakuna iliyojibu ama kushambulia hoja.

Lakini hili pia linanirudisha kule kule kwenye andiko langu lililopita kuwa Vijana wa Chadema mna uwezo mdogo sana wa kufikiri...mdogo mno.
 
labda wewe zito humjui vizuri usimfananishe na musa,mtu ambaye ameshindwa kuishinda tamaa hivi wewe unaona zito ni kiongozi mzuri kwa lipi hasa kuongoza siyo kuibua tuhuma hata hizo tuhuma alikuwa anapewa na watu akazungumze siyo yeye alitafuta taarifa.ni vizuri ajifunze namna ya kuendesha siasa
 
hujaelewa nini kwenye hicho kiingereza?
Hebu onesha aina ya kosa lililotendeka hapo..
Jifunze kujibu hoja kwa hoja sio matusi

Unaonaje angesema ''I didnt find him, he found me'' manake she was talking the past. Badala ya kusema ''rejected brainy''' angesema rejected brain! Understand young man? Inaonekana na wewe ni product ya shule za kata kama huyo mwenzio Shonza! Rudini shule.
 
.........................................................................................................................

================================================================

Ebu Juli na Zitto zisomeni kwa makini hizo post mbili hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
Sijaelewa Pasco sababu za kumshambulia kiasi hicho Juliana Shonza.

Unavisa gani na huyu binti ya watu ambae ni mke wa mtu?

Au kwakuwa kammsifia ZZK ambae inaonekana huna maslahi nae siku hizi?

Au unadhani jinsi anavyomsifia Zitto ndio atazidi kumharibia yeye na chama chake CDM na wewe unatamani kumuona akiwa ndani ya chama hicho?.

Au wewe umemtongoza huyu binti ya watu akakunyima kwahyo unatoa frustration zako hapa mtandaoni manake wewe na mabinti si haba?
 
Last edited by a moderator:
hata chege ni msomi mzuri sana lakini si kiongozi mzuri vilevile zito ni msemaji mzuri ila si kiongozi mzuri
 
Reactions: 999
Hapo kwenye damu ya Kunguni umekosea. Damu ya Zito ni damu ya watu wa kigoma. Kwa mtu aliyewahi kuishi au kufanya kazi na watu wa kigoma atakuwa anaelewa nnachoongea. Watu wa kigoma ni watu wakorofi sana, sana.

ila umesema pia kuwa Zitto na Chenge wote wana damu ya kunguni kwamba wako kapu moja - interesting maana ni kweli Chenge na Zitto they have a lot in common!
 

Pasco anajiheshimu na anaheshimika huku jukwaani kwa kuongea ukweli mtupu...Bila kujali unamuumiza nani.
 
Last edited by a moderator:
Tangia utimuliwe chadema bado unaweweseka
Unaendelea na utaendelea kuiwwaza chadema maisha yako yote, chadema walishasahau kama walikuwa na Shonza,
Na huu mkong'oto wa juzi waliopata CCM huko Mwanza, Shinyanga, na Sumbawabga unazidi kukuumiza,
Hivi kama Mbowe asingekuwa kiongozi mzuri kama unavyotaka kutuaminisha, chadema ingeendelea kustawi? Unamfananisha Mbowe na Zito?
Wewe endelea kupiga domo huko magambani CDM ni mwendo mdundo
 
Dada yangu Juliana, pole!, unamatatizo bila ya wewe kujijua!.

Pasco wa jf sio Chadema, hajawahi kuwa na hatawahi kuwa!.

Hayo niliyokueleza sio matusi ni ugonjwa na seriously ukiumwa magonjwa ya ndani, ukifika kwa daktari ni lazima umvulie!, hivyo hayo matatizo yako ya kisaikolojia ambayo wewe hujajijua, unapokuja humu kila uchao kutuvulia hiyo ..yako, wasiokujali wanakuacha tuu eundelee!, sisi tunaokujali ndio tunaokushauri, acha kutuvulia ,,na kutukalia ...!.
Mimi ni mwana saikolojia, hivyo nikisoma 'the motive behind' baadhi ya mabandiko yako, ni 'attention seeking!'. haitakusaidia huko ulipo, utaishia kutumika tuu kama pe.. na kuwa disposed off!.

Athari kubwa kwa tatizo lako sio siasa, sio chama bali ni familia!, please it from me!, kwa mwanamke, 'deep rooted neurosis' isipotibiwa, inaweza hata kusababisha 'frigidity!" na wengi wenye tatizo hili wanaweza wasijijue na kwa sababu haliwatesi wao!.

Pasco wa jf sio mwanachama wa chama chochote, hategeme cheo chochochote kutoka kwa yeyote, amekuwa hivyo toka uchaguzi wa 1995 alipokuja na "Mada Moto!" na baadae "Kiti Moto". Uchaguzi wa 2000 nikaja na "Ulingo wa Siasa!", uchaguzi wa 2005 nilikuwa UDSM na uchaguzi wa 2010 nilikuwa nahudumu kwa wazungu fulani!. Uchaguzi huu wa 2015 niko tena free, narudi tena ulingoni, CCM nitakuja, Chadema nikwenda, CUF nitapita na NCCR nitakanyaga, heshima yangu itabaki pale pale!, tena thank God huwa sithubutu kuwataja hawa wanasiasa wavua ch... wanaosubiri kupanda kisiasa kwa kupitia migongo ya watu, vinginevyo ungeniona!, ungenikimbia!.

Kiukweli Juliana nakupenda mno kwa ndati ndio maana nakuambia haya!, tibu tatizo lako!.
Ulipotimuliwa Chadema, sikumbuka kama kuna yeyoye aliyekulilia humu kama mimi!, naomba nikukumbushe tuu
[h=3]Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili ...[/h]
Pasco
 
Ndege Wafananao huruka pamoja

Mwanahabari Huru
 
Siasa za Bongo hazitaki watu makini, b'se majority ni daraja C.. Pass etc....

Sishangai Zitto , kitila mkumbo, prof. Yule wa CDM...

Hawa waunga unga unga shule kama Mnyika, Lema, Sugu, mch. Wa jimbo la Iringa etc ndio mashujaa, hii ndio Tanzania yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…