Zitto Kabwe: Adui, Rafiki, Kipenzi

Zitto Kabwe: Adui, Rafiki, Kipenzi

Kwanza si kweli kuwa nguvu ya Zitto ndio iliyojenga chama. Si kweli hata kidogo. Zitto amejengwa na chama na kufanywa maarufu na chama, kisha kiburi cha sifa kimemwingia.

Pili, inadhihirisha dhana ya usaliti. Zitto akiwa ndani ya CHADEMA, alipaswa kuainisha changamoto za chama na kujaribu kuzitatua katika timu iliyopo, na si kudhani kuwa AKILI YAKE ndio itajenga chama. Hii imedhihirika sasa. Baada ya yeye na vibaraka wenzake kama Juliana Shonza kuondoka CHADEMA, chama kimekuwa imara zaidi. Chama kimekuwa hakina migogoro kabisa. Chama kimejengeka zaidi na watu wana imani zaidi na chama.

Tatu, kama kweli uongozi wa Zitto ndicho kilichokuwa kinahitajika kukuza chama, Zitto ana nafasi katika chama chake kipya cha ACT-Tanzania. Zitto atoke CHADEMA, tuone kama ACT-Tanzania itakua kama anavyoota.

Nne, wewe kama mwana CCM ambaye una hakika kuwa Zitto ni hazina, kwa nini haushauri viongozi wa chama chako wamchukue Zitto na kumfanya kiongozi ndani ya CCM ili mumkomboe Mtanzania kwa kubadili fikra za kifisadi na za ulevi wa madaraka zilizo CCM na zenye madhara makubwa kwetu sisi kwa kuwa ndio wanaogawa rasilimali za Taifa?

Tano, unathibitisha kuwa kazi ya Zitto ndani ya CHADEMA ilikuwa kutengeneza makundi ya kumjenga yeye mwenyewe. "I have a fear of being ruled by a lesser" hii ni kauli isiyokilenga chama, ni ya kibinafsi. Ni mtu anayetafuta yeye madaraka, tena asiye na subira. Bora chama kivurugike kwa sababu ni yeye tu anayedhani anaweza. Kauli hii inadhihirisha kuwa mtu huyu anajitafuta mwenyewe.

Sita, kama ulidhani umeandika uzi huu kumjenga Zitto, hakika unazidi kumchafua.

Mwisho, jifunze kiingereza. I didn't find him, he finds me hii inadhihirisha kuwa bado unahitaji kujifunza si kiingereza tu, na mengine mengi...
 
Niliooona Hii makala yenye kichwa cha habari cha Kingereza ...na kuandikwa na mmoja wa wasomi wetu wa Sasa mwenye masters ...basi nikajuwa ni makala ya Lugha ya Kingereza ...kumbe ni Kama makala Za ijumaa au bongo movie Zenye vichwa Vya habari Vya Kingereza makala Za Kiswahili ...

Kama ulidhamiria kufikisha UJUMBE Kiswahili ...basi kichwa cha habari weka Kiswahili ....
 
aisee...? Wewe ulipoona hapakidhi ulihamia ccm, Ruyangwa yeye wapi?
 
Niliooona Hii makala yenye kichwa cha habari cha Kingereza ...na kuandikwa na mmoja wa wasomi wetu wa Sasa mwenye masters ...basi nikajuwa ni makala ya Lugha ya Kingereza ...kumbe ni Kama makala Za ijumaa au bongo movie Zenye vichwa Vya habari Vya Kingereza makala Za Kiswahili ...
Kama ulidhamiria kufikisha UJUMBE Kiswahili ...basi kichwa cha habari weka Kiswahili ....

Unajua sisi wasomi wa chuo cha mlimani lazima tuchanganye lugha.
I didin't yuu ? You didin't find me!
Wasomi wa mlimani sisi ni shiiidaaa!!
 
Juliana Shonza, anakabiliwa na tatizo la kisaikolojia linaloitwa 'deep rooted neurosis', tatizo la tatizo hilo halina any physical symptoms bali linatambulika kwa maneno na matendo ya mgonjwa huyo. Ndio maana majuzi ni Juliana huyu huyu amekuja kutuvulia chu.. yake humu hadharani kuhusu tatizo la vijana wa Chadema!. Baada ya watu kumtukana humu kuwa ni mala.. tuu ana amewavulia sana chu... CCM hadi kumchukua, lengo la thread hii sio kuelezea umuhimu wa ZZK bali kuonyesha walikuwa karibu kiasi na ZZK, ili wenye akili tuelewa kuwa kama kule alituhumiwa kuwavulia chu... CCM, sasa hii ndio taarifa kwenu kuwa hata ZZK alimvulia!, na mkizidi kumzonga mwishowe atatoa siri za wote aliowavulia chu...!.

Kisaikolojia, ukiona mtu anavaa sana mi cheni ya gold, mi pete, mihereni, ili kuonyesha how worth she is, ujue ametoka kwenye backround masikini sana, na ni masikini wa roho, hivyo ili kujifariji kuwa ana thamani kubwa, lazima aioneshee huo utajiri kwa worldly things!.

Juliana aliingia CCM kwa kishindo kikubwa na kupokelewa na JK mwenyewe, akajiona amethaminiwa sana, hivyo akajiaminisha she is so worthy kwa CCM!, lakini as times goes by, ameanza kujishtukia kuwa ndani ya CCM, she is totally worthless!. Kokosa thamani huku, kunampelekea kupata 'psychological depression' hivyo kujikuta anany'ong'onyea na kusononeka kimoyo moyo!, hana popote pa kutolea sononeka lake, hivyo kujikuta ana intense pressure inside her ilichanganyika na hasira ya kuwa ignored!. Namna pekee ya ku rease pressure hii ni strike on anything!, wanawake wengi huishia kulia, presure inashuka, anatulia, Juliana ni shujaa, yeye halii, bali ana strike kwa kuistab Chadema from back as an attention seeking mechanism, kuwajulisha CCM nipo, mnikumbuke!.

Juliana tafuta 'psychological concealing', haraka, kabla hiyo 'deep rooted neurosis' haijaanza kukutafuna ndani kwa ndani!, dalili za kutafuna ndani ni kwa kupata ugonjwa unaoitwa 'pseudo frigidity' ambapo atajikuta mumeo hana tena hamu ya ... na wewe!, ili kujipima, utajikuta unagawa kama pipi na kuwasikilizia hao unaowagaiya kama watasema 'tamu!', na sisi wanaume wa Kiafrika tulivyo wanafiki, ukigaiwa hata kama umekuta nothing!, bado utasema tuu 'tamu!', ili kumfariji mgawaji, ila atajikuta akishapita mtu harudi tena!.

Sasa huu ni uzi wa kumuulizia ZZK kuwa Juliana bado anakukumbuka na anayakumbuka mambo yako!, na kwa vile ZZK bado hajatangaza ndoa rasmi, hili ni tangazo la loneliness ya Juliana kuwa ZZK, I'm there for you!, bado nakukumbuka!, naomba unikumbuke!.

Mkuu ZZK, kama vipi, kumbushia dada yetu atulie, akieendelea kuachwa hivi hivi, mwisho wa siku, atavua chu.. hadharani, wa kujipitia wapite na kutazama watazame!.

Sisi tunaowapenda watu kama hawa huwa tunawaambia ukweli tuu ili kuwasadia!.

Ushauri kwa dada yetu Juliana, ili kujitunzia heshima kidogo uliobakiwa nayo wakati ukisubiria viti maalum mwezi October, maadam uko CCM, jikite kwenye kuhubiri sera za CCM!, Chadema achana nao kabisa!, kama lengo ni kumtafuta ZZK kukumbushia, mtafute kimya kimya, don't drag him kwenye njaa yako ili muonekane wewe na ZZK ni kitu kimoja!, badala ya` kumsaidia akukumbuke na kukutafuta kukumbushia!, ndio kwanza unamponza zaidi!.

Pasco.
 
Mbona hakuna anayejibu hoja kwa hoja.Zaidi ya kumshambulia mtoa mada.Au mada haijaeleweka?
 
Juliana Shonza kwanza hakuna Chuo Kikuu cha Mlimani. Pili,kiingereza hakikupendi hivyo achana nacho. Tatu,hongera kwa kujua kutumia computer na mitandao kwa ujumla. Nne,CHADEMA na Zitto hawakuhusu. Tano,maDC wameshateuliwa. Sita,msalimie shemeji.

Hahahahaaaa
 
Last edited by a moderator:
Juliana Shonza,

Kuna wakati nilimuona Zitto kuwa ni kijana mwenye aakili na mwenye mvuto kisiasa na nikajuwa yupo kwa ajili ya wananchi. Lakini baada ya sakata la Barrick na alipoanza kuelekezewa misaada jimboni kwake na Barrick na baada ya muda wa kuingizwa kwenye kamati ya madini na Kikwete akaanza kutembelea vogue, nikawa nna doubt nilivyomfikiria awali.

Juzi kuhusu suala la escrow na aliposhindwa kutetea hoja zake bungeni na mpaka alipoulizwa kuhusu na yeye kupokea fedha kutoka kwa Seth akajidai kujiliza bungeni na kusingizia kifo cha mama'ke, isitoshe, ile kukubali kila kilicho azimiwa awali na kamati yake kubadilishwa na nafasi yake kuchukuliwa bungeni na Anna Kilango, nikapata uhakika kabisa kuwa kijana ni bogus tena hafai kabisa na hana zaidi ya maslahi yake binafsi.

ni mara chache sana unaongea point lkn leo umeongea.

zitto ni miongoni mwa vijana wabunge wenye hela zote alipata alipoingia kwenye kamati ya madini. ni kuanzia pale hata siasa zake zilibadilika na akaanza kujitenga na chama.

pia maneno ya shonza yanathibitisha hilo kuwa ni 2008 zitto alijitenga na chadema.
 
Ni kama nilivyofikiri awali, fikra zangu hazikunidanganya kuwa baada ya kuyaandika haya watakuja vijana wa chadema walioamka na mning'inio kuanza kutukana na kutaja habari ya ndoa yangu na kila kashfa...

Kwa bahati mbaya, nililitegemea hilo tangu mwanzo kabisa hivyo halinikatishi tamaa hata kidogo...nitaendelea kuwaangushia vitu vizito vyenye ncha kali..
 
Juliana Shonza,

Kuna wakati nilimuona Zitto kuwa ni kijana mwenye aakili na mwenye mvuto kisiasa na nikajuwa yupo kwa ajili ya wananchi. Lakini baada ya sakata la Barrick na alipoanza kuelekezewa misaada jimboni kwake na Barrick na baada ya muda wa kuingizwa kwenye kamati ya madini na Kikwete akaanza kutembelea vogue, nikawa nna doubt nilivyomfikiria awali.

Juzi kuhusu suala la escrow na aliposhindwa kutetea hoja zake bungeni na mpaka alipoulizwa kuhusu na yeye kupokea fedha kutoka kwa Seth akajidai kujiliza bungeni na kusingizia kifo cha mama'ke, isitoshe, ile kukubali kila kilicho azimiwa awali na kamati yake kubadilishwa na nafasi yake kuchukuliwa bungeni na Anna Kilango, nikapata uhakika kabisa kuwa kijana ni bogus tena hafai kabisa na hana zaidi ya maslahi yake binafsi.

Dah! Picha tamu hili. Juliana Shonza njoo huku. Naona mmeanza kuinukiana - wewe wasema hakunaga kama yeye wenzio wasema ni bogus na mchumia tumbo. Niko pembeni hapa naangalia trela kabla ya picha lenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Matatizo hayaondolewi na mtu mmoja, yanaondolewa na mshikamano wa watu wote. Zitto alikuwa tatizo CHADEMA na huko kote atakapoenda atakuwa tatizo.

Siri za CHADEMA sasa hazitoki baada ya Zitto kuondolewa kwenye uongozi, hata huelewi kuwa kumbe alikuwa tatizo? Kashfa unazozitaja alizoibua hata hazina maana coz kuibua kashfa kwa sasa hakuna maana bali kuangalia jinsi ya kuweka misingi ya uadilifu katika muundo wa serekali.

List of shame Dr. Slaa aliitoa zamani na wale aliowataja ndio vigogo wa ufisadi ambao hao ndio viongozi wako wa sasa. Ukitaka kuikomboa nchi hii ni kuondoa wote walioko kwenye list of shame pamoja na mawakala wake sio kuibua kashfa. By the way, hizo kashfa unazozitaja hakuziibua Zitto bali ilikuwa strategy ya kumpatia umaarufu.

Escrow kwa mfano, ni strategy ya kumuibua Zitto baada ya kudidimia ili kuipunguza makali CHADEMA ndio maana mchakato wake ulienda namna ile. Wewe unadhani kwanini bunge halikuunda kamati badala yake bunge liipe kazi PAC? Umaarufu unaoletwa na uwezo wa kuibua kashfa unatumiwa na wanasiasa uchwara. William Shelukindo aliibua kashfa ya EPA lakini hakuhitaji umaarufu.
 
...... lakini HOFU yangu ni kuwa hatujaiimarisha wala kuiandaa ipasavyo CDM kuwaongoza watanzania, bado katika chama chetu tunalo tatizo la Uongozi..,I HAVE A FEAR OF BEING RULED BY A LESSER"

.......
RED: Ni ngumu kupata wafuasi makini wenye hekima, busara; wanoheshimu utu, wasio na viburi, na mengine kama haya kama your inner most goal imejwengwa kwenye msingi huu. Nakuhakikishia, ni sahihi Zitto kuwa na wafuasi kama Juliana, Arfu,Mtella na wengineo kama hawa.
 
I didn't find him,he finds me!!!!!!what kind of english is that?!!!!mama umeolewa tulia na mmeo,kama hawezi kupiga kazi pole.Zitto alishawahi kusema mkome kumuhusisha kwenye mambo yenu.
Mwisho, jifunze kiingereza. I didn't find him, he finds me hii inadhihirisha kuwa bado unahitaji kujifunza si kiingereza tu, na mengine mengi...
Lengo ya hiyo statement ni kueleza kuwa ZZK alimtokea, hata akiwa akiwa nje ya nchi, huwa anamuwaza Juliana na kumpigia trancall!, kitu ambacho hakueleza ni baada ya kurejea na kukaa pamoja, walimaliziaje!, hicho kilichomaliziwa ndicho kinachokumbushiwa na nficho kinach hitajika!.
Pasco
 
Ni kama nilivyofikiri awali, fikra zangu hazikunidanganya kuwa baada ya kuyaandika haya watakuja vijana wa chadema walioamka na mning'inio kuanza kutukana na kutaja habari ya ndoa yangu na kila kashfa...

Kwa bahati mbaya, nililitegemea hilo tangu mwanzo kabisa hivyo halinikatishi tamaa hata kidogo...nitaendelea kuwaangushia vitu vizito vyenye ncha kali..
Juliana waliokuja sio wote ni vijana wa Chadema, sisi wengine sio Chadema, ila kiukweli, una matatizo ya 'deep rooted neurosis' bila wewe kujitua!. Usipoitibu, utapata 'frigidity!".

Pasco
 
Dah! Picha tamu hili. Juliana Shonza njoo huku. Naona mmeanza kuinukiana - wewe wasema hakunaga kama yeye wenzio wasema ni bogus na mchumia tumbo. Niko pembeni hapa naangalia trela kabla ya picha lenyewe.

Kila mtu na mawazo yale na muono wake. Kumbuka hilo.
 
Hivi mpo kwenye chama Kipya lakini kutwa mnaota Chadema na mkakati wenu ulioshindwa ....na ghafla kwenye chama Kipya ccm mnakuta hakuna anayewakubali Zaidi ya Mwigulu Nchemba ....MAKADA wengine wote hadi Sasa wanaonekana kutokuwaamini ..huu Sasa hasa Baada ya kukosa hata Ukuu wa Wilaya cheo bogus kuliko vyote Nchi Hii ....manatamani Zitto aende ACT ili mumfuate...Pamoja na kuwa alishindwa Kusimama kuwatetea Wakati mnasulubiwa Chadema ....Kama ilivyo kawaida Kushindwa kutetea wafuasi wake ....

Lakini kubwa hapa nasikitika mfumo wetu wa Elimu .....,mtu una masters ..hata kuandika makala yenye uwezo wa kuibua FIKRA huwezi ...yaani mtiririko unaonaesha ...Hivyo ...sembuse kutumia Kingereza ....Hii ni masters ya wapi ...au Ndio zile degree Za " Mrisho Gambo "???....nenda ..British council aisee usione aibu ...hata Kama pale utakutana watu waliofeli form four wanaosoma English ili wapate kazi Za u house girl kwa wazungu ....

Hivi what did you mean to say here ..,perhaps you may help us ; ". I have a fear of being ruled by lesser " ....couldn't you find an appropriate world ..to deliver your sarcastic message ?

Hapa Je ...ghosh God tell me it's not true ....;amazing ..., eti ," I didn't find him .., he finds me " sic

Sijaeelewa ..it's kind like ...hukumtafuta yeye ..Bali yey Ndio alikutafuta...." ....kwa tuliosoma psychology ..hapa unajaribu kuwa protective ....kuna kitu unataka kuficha ....kwa nini unataka kutuaminisha ..Zitto akutafute wewe binti ambaye wala ulikuwa hujawa maarufu...., au hutaki watu wafikirie kuwa palikuwa na mahusiano ...., kwa nini unafikiri ukisema wewe Ndio uliomfuata Zitto ...utaonekana tofauti ?? Kuna ajabu gani kama mtu Ana ku inspire...ukasema wazi boldly ...kuwa ...ukimfuata na pengine ukataka awe your political mentor ...Mbona ni jambo la fahari tu ...
 
Mbona hakuna anayejibu hoja kwa hoja.Zaidi ya kumshambulia mtoa mada.Au mada haijaeleweka?
Soma hapa uniambie kama hoja hazijajibiwa.

Back
Top Bottom