Zitto Kabwe: Adui, Rafiki, Kipenzi

​hivi huko SISIEM wwe ni nani???mana ungekuwa na u-DC ungepewa ukuu wa Wilaya
 
Juliana Shonza kwanza hakuna Chuo Kikuu cha Mlimani. Pili,kiingereza hakikupendi hivyo achana nacho. Tatu,hongera kwa kujua kutumia computer na mitandao kwa ujumla. Nne,CHADEMA na Zitto hawakuhusu. Tano,maDC wameshateuliwa. Sita,msalimie shemeji.
Ni mjinga tu ambaye hatamuelewa mtu anamaanisha chuo gani pale anapotumia maneno "CHUO KIKUU CHA MLIMANI"
 
jamani kumbe escrow iliibuliwa na zitto?nilikua sijui hili.btw mnanipa raha sana kukiri kuwa cdm imewafanya kitu mbaya serikali za mitaa.
 
Naungana na mtoa mada.Zitto atabaki kuwa mwanasiasa shupavu, makini na mwenye msimamo.Hakika hii ni tunu kwa taifa letu.Hizo siasa uchwara na za kumchafua bado hazimuondolei uimara wake.Chama hakiwezi kuongozwa kwa jazba,ubabe,tetesi na kufukuza walio na mawazo tofauti ya mfalme wa chama.
 
sasa kama unampenda zitto si uhame ccm uende kwenye chama chake cha act
 
Juliana Shonza kwanza hakuna Chuo Kikuu cha Mlimani. Pili,kiingereza hakikupendi hivyo achana nacho. Tatu,hongera kwa kujua kutumia computer na mitandao kwa ujumla. Nne,CHADEMA na Zitto hawakuhusu. Tano,maDC wameshateuliwa. Sita,msalimie shemeji.

Yaani ni majanga kabisa. Huyu ndio majuzi alikuja na hoja eti ana mashaka na elimu ya vijana wenzake. Anyway, ngoja vijana wenzake waje watamjibu.
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA wanachanga KARATA ili SLAA aonekane ni zaidi ya LIPUMBA ndani ya UKAWA.
 
CDM imekua,sasa kuna viongozi wa vitongoji na mitaa wa chadema,mnataka uongozi ufanye nn kingine?
 
Yaani ni majanga kabisa. Huyu ndio majuzi alikuja na hoja eti ana mashaka na elimu ya vijana wenzake. Anyway, ngoja vijana wenzake waje watamjibu.
Vipi huyo ambaye hajui chuo kikuu cha mlimani, elimu yake haina mashaka kweli?
 

Umesema yote mazuri kuhusu Zitto Kabwe na tumekusikia,Now I am posing a practical question to you:Je,unaiamini ripoti ya Kamati ya Zitto kuhusu kashfa ya ESCROW ambayo iliwang'oa akina Mhongo,Tibaijuka,Werema,Maswi na kuwaacha akina Mkuya,Pinda na maofisa waandamizi wa ikulu?
 
Ndoa ni majanga sana siku hizi, sasa huyu mwanamke utasema usiku alikuwa na mume wake? kumbe anafikiria wanaume wengine tu.

moyo wa mtu Kiza.

Nadhani mume wa huyu mama ni Bushoke, mwanamke umeshaolewa lakini huishi kumsifia bwana wa zamani mbele ya mumeo!! heshimu hata wakwe na ndugu kama mume hana sauti mbele yako!
 
Juliana Shonza,

Kuna wakati nilimuona Zitto kuwa ni kijana mwenye akili na mwenye mvuto kisiasa na nikajuwa yupo kwa ajili ya wananchi. Lakini baada ya sakata la Barrick na alipoanza kuelekezewa misaada jimboni kwake na Barrick na baada ya muda wa kuingizwa kwenye kamati ya madini na Kikwete akaanza kutembelea vogue, nikawa nna doubt nilivyomfikiria awali.

Juzi kuhusu suala la escrow na aliposhindwa kutetea hoja zake bungeni na mpaka alipoulizwa kuhusu na yeye kupokea fedha kutoka kwa Seth akajidai kujiliza bungeni na kusingizia kifo cha mama'ke, isitoshe, ile kukubali kila kilicho azimiwa awali na kamati yake kubadilishwa na nafasi yake kuchukuliwa bungeni na Anna Kilango, nikapata uhakika kabisa kuwa kijana ni bogus tena hafai kabisa na hana zaidi ya maslahi yake binafsi.
 
I didn't find him,he finds me!!!!!!what kind of english is that?!!!!mama umeolewa tulia na mmeo,kama hawezi kupiga kazi pole.Zitto alishawahi kusema mkome kumuhusisha kwenye mambo yenu.

hujaelewa nini kwenye hicho kiingereza?
Hebu onesha aina ya kosa lililotendeka hapo..
Jifunze kujibu hoja kwa hoja sio matusi
 

Wewe ndo ulisema una elimu na cv kuliko vijana wa BAVICHA wote duh.....!! Mumeo kala hasara kumbe Zitto nae ulishawahi kumliwaza
 
Sasa angalia ujue hili jitu ni likenge, leo kamsifia Zito shupavu na msomi wakat maada yake ya juz ilisema vijama wa upinzan hawana uwezo wa fikra na hawajasoma
Iweje leo amsifie Zito ni msomi? Ukisema uongo jaribu kukumbuka uongo wako ila ww unajidhalilisha tu Juliana Shonza
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…