kushindwa kwa raisi kumuwajibisha mhongo au PM iweje liwe kosa la Zitto?
hujajibu hili swali, kwa nini bunge limuombe rais amuwajibishe pm wakati lenyewe lina mamlaka ya kumpigia kura ya kutokuwa na imani nae. period
kushindwa kwa raisi kumuwajibisha mhongo au PM iweje liwe kosa la Zitto?
we mwongo zitto hakuepo siku ya uzinduzi wa kampeni jangwani, ukithibitisha najitoa jf
Mleta mada anafikiri sisi wote ni wapuuzi, angemsifia zitto kwa hoja za kweli, anafikiri tumesahau kuwa Ole sendeka ndie aliestukia na Wenje akasisitiza ipaki kama zitto alivyo sema.
zito ameanza kuchukiwa na team mbowe baada ya kutaka kugombea uenyekiti ndipo babamkwe akaanza kudai Sacco's hoi hstuwez mkabidhi mha hii no chagadema aka chaga development manifesto
Ukabila na ukanda utaumaliza upinzani tz katka kambi ya upinzani ni mwanasiasa gani anamfikia zito tatizo ukitaka uonekane bora lazima uwe msukule wa wachaga mnaangaika na waamasishaji badala ya viongozi pika kazi zkk achana na mamburura na habari zao zisizo nakichwa wala migu
Vipi kuhusu kumsifia warioba Badala ya kuisifu tume nzima ya mabadiliko ya katiba????Mimi nichojiuliza na ambacho nataka anijibu mleta maada ni kwamba je ni halali kumsifia mwenyekiti wa kamati ya PAC yeye binafsi badala ya kuisifia kamati nzima kwa kazi nzuri waliyoifanya? au tunaongea kishabiki zaidi au kuna kitu nyuma ya pazia?
Mkuu siku zote nilikuwa sijaona hii fact ya elimu kwa hawa rafiki wa zzk.Unajua ukiwa na housegirl/boy asiye na elimu kabisa atakuwa anafanya vituko tu nyumbani tokana na ujinga.Elimu ni taa na ufungua wa kichwa.Elimu inasaidia kupambanua changamoto mbalimbali....Adui mkubwa wa mwanadamu ni ujinga....etc.....na ujinga huondolewa darasani tu....la sivyo tumia walioondoa ujinga kusimamia shughuli zako.Aggression is a sign of fear.
Akili za Zitto ni nyingi kuliko akili za Slaa jumlisha za mbowe jumlisha za John mnyika jumlisha za josef mbilinyi sugu jumlisha za godbless lema.
Elimu ya Zitto ni kubwa kuliko elimu ya Slaa jumlisha ya mbowe jumlisha ya John mnyika jumlisha ya josef mbilinyi sugu jumlisha ya godbless lema.
Zitto ndiyo mtu pekee katika uongozi wa juu wa chadema (kabla hawajamwekea zengwe) ambaye alikuwa na degree ya taaluma fulani. Waliobaki wote hawakuwahi kuwa na degree.
Slaa ana phd ya bible study ingawa hakuna university hata moja duniani iliyowahi kumpa degree ya kwanza au ya pili ya somo lolote.
John Mnyika ameshindwa kumaliza shule ya evening classes ya udsm.
Lema, Mbowe na Sugu are exempted from academia.
Nadhani jibu unalo sasa kwanini wanamchukia Zitto
.Ambacho nimethibitisha pasipo shaka ndani ya miaka 10 iliyopita ni kwamba''' vita yoyote dhidi ya ZZK itaisha kwa mshindi kuwa ni yeye ZZK'
Na ni yeye tu ZZK ambaye naweza nikamuamini miongoni mwa wanasiasa wetu. Uadui unaojengwa dhidi yake ni kutoka kwa WASAKATONGE waliojazana kuanzia chama tawala hadi upinzani. Kwa wapinzani, Zzk haaminiki kwa sababu ana mawasiliano ya karibu sana na viongozi waandamizi wa serikali(ccm)na maafisa wa jeshi na usalama wa taifa. Upinzani umejaa viongozi wapumbavu wanaoamini katika chuki na utengano na hivyo tabia za zzk ni kikwazo na usaliti kwa dhamira zao ovu.
Ila kwa ccm kama chama tawala, zzk ni mwiba na janga lisilomithilika. Wanacheza siasa za kinafiki kwa kumuunga mkono zzk pale anapokuwa na mgogoro na chama chake CDM kwa sababu wanajua CDM ikiwa na zzk ni THREAT KWA CCM. Kwa sababu ya ujinga na upuuzi, viongozi wa chadema hata hawalifahamu hilo......
Huyu zzk ndio mwanasiasa pekee mwenye wafuasi toka vyama vyote na kada,makabila na dini zooote. Huyu ndiye mwanasiasa anayeaminiwa na wanasiasa wenzake toka vyama vyoote vya siasa na wako tayari kumfuata.
COME 2025, He wil be our president kwani naamini kabisa nguvu aliyonayo na ushawishi wake miongoni mwa watanzania ni zaidi ya wanasiasa wote.
Masharti aliyoyatoa zzk kwa chadema ili aweze kurudi ni mwibaaaaaa kwani zaidi ya mbowe sijui nani atabaki.
Honestly, I MISS MBOWE/ZZK teamup.chama kimepwaya na kimebaki na kutegemea matukio hususan matukio yanayoibuliwa bungeni. Hakuna mikakati,iliyopo ni ya ukanjanja na wasimamizi ni akina sugu na minikabang.
kwa kosa ambalo ccm imelifanya kupitia kuruhusu mjadala wa escrow, sahauni kama kuna hoja itapita bungeni ambayo itaiumiza ccm. Kuelekea 2015 matukio yote yatadhibitiwa. Na kutokana na usahaulifu wa watanzania!! mtakosa matukio ya kuwabeba na mtanyukwa kirahisiiiiiiii. Zzk is the onw ans only politician that xan be trusted
atakua hajafika miaka 40,katika mwaka 2015,kumbuka amezaliwa 1976.
Nilikuwa nafuatilia thread ii lakini nilipo fika kwako, nikaona nitoe hojakidogo kisha niemndelee tena mwishoni baada ya kupia yote na kutoa hoja ya jumla. ZITO AGOMBEE 2015 na sio 2025.
Aggression is a sign of fear.