Zitto Kabwe: Adui, Rafiki, Kipenzi

Zitto Kabwe: Adui, Rafiki, Kipenzi

Hujamalizia 2010 hiyo hiyo majimbo aliyopita kuwapigia kampeni ambayo kazi hata mwenyekiti wa chama ilimshinda kufanya asilimia 94 wote walipita na kuwa wabunge na wakayi wanaapishwa walikuwa wakisema shukrani Zitto na hadi kesho wanakiri kuwepo kwa Zitto katika kampeni ndio yshindi wao mkubwa,malizia na hili kuwa ndio mbunge wa upinzani aliyekuja na hoja nyingi sana kuliko wabunge wote
 
uzi mzuri ila una maswali mengi sana kwani kipindi hiki ndo unaletwa?,kwanini yameandikwa mazuri pekee? nk
 
kunawatu wengi watamuona zitto shujaa eti alitaka kumuwajibisha pinda. kwanza mtu wakwanza kusema itamuhusu mpaka punda hakua olesendika bali alikua wenje baada ya kuona zitto akizomewa ndipo alipo fwata Olesendeka?.
ISSUE nioendekezo gani hilo lililo ungwa mkono na zitto?
bunge litoe azimio kumtaka Rais afikilie namna ya kumuwajibisha katibu mkuu wa wizara
ndipo zitto akasema hilo azimio litumike mpaka kwa Pinda

swali je liilikua azimio sahihi?
bunge lenye uwezo wakupiga kura ya kumn'goa pinda ndio litumike kumuomba Rais afikilie kumn'goa Pinda. kama sio unafki ni nini? Rais huyu huyu ndio amuwajibishe PM wakati hata kumuwajibisha muhongo tu ameshindwa? zitto alijua azimio hilo halitekelezeki kama ilivyo kwa azimio la rais kuwawajibisha viongozi wa kamati. hapa ndipo utakapo jua unafki wa zitto.
 
kushindwa kwa raisi kumuwajibisha mhongo au PM iweje liwe kosa la Zitto?
 
Hakika zitto ni
kijana msomi uwezo wake na weledi wake n wakutukuka.ameonyesha njia na
nia na kuwa mfano wa kuigwa kwa wanasiasa wasomi hasa vijana.hakika
bwana huyu amaeonyesha uwezo wake na kukubalika bila ya unafiki mkubwa
kwa makundi yote ya siasa upinzani na hata chama tawala wanajua huyu
jamaa ni akili kubwa na kwa ukwel uliowazi n kuwa huyu ni miongon mwa
hazina ghali sana na tunu iliyotukuka kwa taifa letu.amezongwa na mengi
amepitia magumu na machungu mengi amejizzolea pia maadui wengi kutoka
pande zote bali amesimama imara bila kutetereka na mwishowe maadui zake
wameishia kupata aibu.lakin mh zitto asikate tamaa kwan afaham kuwa mti
mzuri ndo hurushiwa mawe.mh zitto endelea kutekeleza wajibu wako kwa
jamii kuitoa jamii gizan na umaskin uliokithiri endelea kutekeleza
wajibu wako kwa weledi,hekima,busara uadilifu na kutenda haki uliomkubwa
wwe ni hazina na tunu iliyotukuka kwa taifa letu songa mbele.kazana
huko mbele banapo uzima uliongoze taifa letu la tanzania na kulirudisha
kwenye mstari ulionyooka wa uadilifu na haki
alluta continua
alluta continua
alluta continua
mapambano yanaendelea katika
kufuta ujinga
umaskini
ufisadi na ubadhirifu
Kupata huduma bora za kiafya
Upatikanaji wa maji safi na salama
NAOMbA KuWasilisHA
Ni ukwel mtupu, naunga mkono hoja mia kwa mia!
 
kushindwa kwa raisi kumuwajibisha mhongo au PM iweje liwe kosa la Zitto?
uwezekano wa Rais kiumuwajibisha PM ulikua mdogo sana yaan lile lingekua azimio la kisiasa lisilo wezekana ila kutaka sifa, Lissu alisema bunge linauwezo wa kumuwajibisha PM sasa kwann iende kwa Rais?
 
Mbona sasa hilo bunge lenye uwezo wa kumwajibisha PM halikumwajibisha?, na infact reference yeyote ya kumhusisha Prime Minister na sakata la Escrow iliondolewa na Bunge hilo hilo kupitia kamati ya maridhiano ambayo kambi ya Upinzani iliongozwa na Mbowe?. kwa nini akina Mbowe hawakutaka azimio linalomhusu PM libaki hivyo hivyo kama ilivyopendekezwa na PAC hapo awali?
 
Zitto kama binadamu ana mapungufu yake; ila kwa wanasiasa wa zama hizi/ kizazi hiki hakuna mwenye uzalendo, ari na creativity katika issues mbalimbali za kitaifa kama zitto. wengine tuliishajipambanua kufa nae katika hii misimamo yake. huwa nasema wengi hawawezi kumuelewa ila ni zitto ndie aliefanya upinzania kupata heshima na kuvuta wengi
 
zito ni miongoni mwa vichwa adimu kwa zama za sasa.baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa na upinzani kupata viti vingi wamesahau ni misimamo ya zito katika sakata la escrow ambalo lilikua karibuni kabisa na uchaguzi huu.wapinzani watambue kua hata kama wakiingia madarakani jamaa bado atawatafuna tu kwa kuo huyo mtu si bendera fata upepo na tukumbuke dawa ya hao panya anayo hata kama walihama ccm muda mrefu ila tabia ya mtu ni sawa na ngozi ya kichwa haibadiliki.twawasubiri hao kina slaa wakutane na huyu mulume ndago wa kigoma
 
twende mbele zito tupo nyuma yako.chama ni karata tu ya kukuingiza mchezoni lakini ushindi ni wewe mwenyewe tutakuunga mkono popote uendapo kwa ajili ya maslahi ya umma.wenzio chadema walijua upo kwa maslahi ya chama kama inavyozoeleka ndani ya jamii.ila uliwadhihirishia kwako TZ kwanza chama badae kwa sababu chama kinaweza kufa na kupotea lakini nchi ipo vizazi na vizazi
 
Mleta mada anafikiri sisi wote ni wapuuzi, angemsifia zitto kwa hoja za kweli, anafikiri tumesahau kuwa Ole sendeka ndie aliestukia na Wenje akasisitiza ipaki kama zitto alivyo sema.

Kbosho....wachaga mnakazi kweli kweli...ukabila utawatenga na watanzania.Hakuna binadamu mkamilifu hata mmoja duniani.Kinachopimwa ni mema mangapi katenda na ya kiwango gani.Ni nani Chadema aliyetenda mema tu maishani mwake?...Zitto namkubali, ni kijana smart sana na hilo halipingikingi...angekuwa anatokea Kibosho wala msingemzushia namna hiyo.
 
wacha uongo wewe, Siku ya uzinduzi wa Kampeni Jangwani nilikuwepo, na Zitto alikuwa miongoni mwa wazungumzaji wakuu, na alizungumza

we mwongo zitto hakuepo siku ya uzinduzi wa kampeni jangwani, ukithibitisha najitoa jf
 
Hujamalizia 2010 hiyo hiyo majimbo aliyopita kuwapigia kampeni ambayo kazi hata mwenyekiti wa chama ilimshinda kufanya asilimia 94 wote walipita na kuwa wabunge na wakayi wanaapishwa walikuwa wakisema shukrani Zitto na hadi kesho wanakiri kuwepo kwa Zitto katika kampeni ndio yshindi wao mkubwa,malizia na hili kuwa ndio mbunge wa upinzani aliyekuja na hoja nyingi sana kuliko wabunge wote

sawa muulize na wenje pia, alivyoombwa kusaidia kumtoa masha kama alienda
 
Back
Top Bottom