Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Ndugu wana JF kijana wetu , mdogo wetu , Mbunge wetu ndugu Zitto yuko US na anapatikana kwa namba hii
+12026646388
Tafadhali Weka Kule Katika Matangazo
Thanks
Ndugu wana JF kijana wetu , mdogo wetu , Mbunge wetu ndugu Zitto yuko US na anapatikana kwa namba hii
+12026646388
Mbunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini kupitia CHADEMA.Hongera Mzee Zitto Jumamosi tulionana pale Mlimani..
Ndio maana yake...Mkulu naona utaki kukubali kuwa Zitto ni mbunge wetu, ukaona uwe specific kabisa.
wewe eti mchambuzi .Kinyesi tu wewe mtoto huna hata akili .Tangazo hili la Zitto unaumia ? Basi hapa linabaki watu wapate taarifa wakitaka kusema naye wako huru .
wewe eti mchambuzi .Kinyesi tu wewe mtoto huna hata akili .Tangazo hili la Zitto unaumia ? Basi hapa linabaki watu wapate taarifa wakitaka kusema naye wako huru .
NDUGU ADMIN
ANGALIA BWANA LUNYUNGU ANAVYONITUSI
NAOMBA MSEME JAMBO HAPA KAMA NI HALALI MTU KUNITUSI HIVI
KWA MARA NYINGINE NAKUSAMEHE NDUGU LUNYUNGU WACHA MATUSI , DHARAU NA VITISHO VYAKO VINGINE
AHSANTE
unawakilisha jamii ya wapi?je tukisema chama unachotoka ni cha wahuni na wachochezi utasemaje?si CCM mnasema ni chama cha mafisadi sababu kuna baadhi ya watu ni mafisadi basi tafuta jina zuri la chama chako amblo linaendana na tabia yako.
Zitto yeye i nani asiguswe??kwani kihwa cha habari kina suala la Muhimu??weka katika matangazo madogomadogo.
Ukiona hivi ujue nimesha kuchoka na akili zako zilizo kama mavi .Ndiyo nakueleza tunachoka na ujinga wa watu wa aina yako .Nasema kw aumri wangu sikupaswa kusema haya lakini nakueleza cause utatuudhi na mambo ya kijinga hapa kila kukicha Fisadi wa akili wewe .Bonge la opportunist senior snitch .Nimesema ndiyo .Tumia akili from now ku tackle hoja na si mavi kichwani .
Lunyungu umenishangaza sana,
wewe unataka shy aandike unayopenda wewe??basi mshauri awe anakupitishia kabla hajaja kuandika hapa.
kumuita mtu au mwenzie snitch ni utovu wa nidhamu.na kama ummchoka ungana naye au muache
Moh
Mimi ni Mnyalukolo tafadhali .
Ukiona hivi ujue nimesha kuchoka na akili zako zilizo kama mavi .Ndiyo nakueleza tunachoka na ujinga wa watu wa aina yako .Nasema kw aumri wangu sikupaswa kusema haya lakini nakueleza cause utatuudhi na mambo ya kijinga hapa kila kukicha Fisadi wa akili wewe .Bonge la opportunist senior snitch .Nimesema ndiyo .Tumia akili from now ku tackle hoja na si mavi kichwani .
Gembe mimi si mwanachama wa Chama chochote .Ila nimemchoka huyu shy kila mara na tabia za ajabu.Kuguswa sawa mtui yeyote hata Lunyungu anasemwa .Nimetoa taarifa watu wanaweza kutaka kusema naye .Kuna kosa ? ustaarabu muhimu .Mimi Chama changu ni Tanzania .
Gembe
I have said it and am done with him.Mimi nimewapa namba ya Zitto basi .Mbona wewe sijakulazimisha useme ninayo yataka ? SHY katufanyia mengi ya kijinga hapa .Anyway sitajibu hili tena .Mnisamehe kwa kuwakwaza waungwana lakini mtu mzima miaka 46 ukiona nasema haya basi ujue ni hasira sana nataka maandiko yabakie tu ajue nilichukia sana .