Zitto in the US

Status
Not open for further replies.
Mnisamehe waungwana lakini si shy .Mama Paroko , dada mwafrika mnisamehe kweli unajua kuna maudhi.Ila yameisha .Mtanzania kwikwikiw unasema mimi ni Chadema ? Si dhambi mkuu ila naomba weka kadi yangu hapa majina yangu yako wazi maana situmii nickname hapa .
 
Lunyungu,

SHY anaudhi sana na ninaelewa kwa nini ulifikia hatua ya kumwita hivyo. Mtu anayefurahia mateso ya wanajamboforums ni mbaya zaidi ya ugonjwa wa kutisha.

Hongera kwa kujirudi na kuomba msamaha. ENdeleza mawe kwani nchi iko hatarini.
 
Hili ni tangazo, na sio mada ya siasa... Nashangaa bado lipo kwaenye ukumbi wa siasa. Inaposemekana kuwa JF ni CHADEMA then mnabisha

Huu ni mfano mojawapo kuwa JF ni CHADEMA, na sijui wanagema nini?
 
Hili ni tangazo, na sio mada ya siasa... Nashangaa bado lipo kwaenye ukumbi wa siasa. Inaposemekana kuwa JF ni CHADEMA then mnabisha

Huu ni mfano mojawapo kuwa JF ni CHADEMA, na sijui wanagema nini?

Litakaa hapa mpaka kiroho kikupasuke kwa hasira na wivu. Kwani hujui kuwa Zitto ni shujaa wa watanzania wote ikiwemo wana JF?
 
Mbunge wetu ndugu Zitto yuko US na anapatikana kwa namba hii

+12026646388

Very good, huu ni mfano wa kuigwa na hasa na viongozi wa CCM kiongozi safi na asiyekuwa na ufisadi huwa hana sababu ya kujificha ficha, huesma ukweli yupo wapi, anakwenda wapi, na hutoa mawasiliano yake wazi,

Krismasi iliyopita nilikutana na Mkulu Karamagi huko majuu, kwenye masehemu sehemu, akaniambia kuwa hataki mtu ajue kuwa yuko kule, to this day ninajiuliza why? Lakini tizama hapa, mambo yote hadharani sasa unapoanza kuwaogopa wananchi unaowaongoza, sasa unamuongoza nani? Na kwa nini unawaogopa?

Heshima mbele mkuu Zitto, huu mfano wako ni ndio hasa maana a real leadership, CCM tuige haya tuwe wawazi!
 
Litakaa hapa mpaka kiroho kikupasuke kwa hasira na wivu. Kwani hujui kuwa Zitto ni shujaa wa watanzania wote ikiwemo wana JF?
Wivu?... Hell no!
Hili ni Tangazo na linafaa kuwepo katika sehemu yake... Iwapo hata hapa tunashindwa kufuata taratibu, then kwa nini tunaipigia kelele CCM? Kushindwa kuitoa mada hii kwanye ukumbi huu ni aina mojawapo ya Ufisadi
 
wivu tu utakumaliza... punguza makunjo ya moyo na utaishi muda mrefu.
 
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu...

Sioni tofauti yako na hao mafisadi...

Najua unatafuta angalau ka sababu ka kuniita fisadi baada ya kuona chama chako kimejawa na mafisadi top down!

Punguza chuki zako dhidi ya zitto maana ni hero wa watanzania na utaishi maisha marefu yenye fanaka na raha tele!
 
Pamoja na kauli zako zenye ushawishi mkubwa, iwapo taratibu zinapindishwa ni rahisi kusema kuwa hata hapa JF kuna ufisadi...
 
This thread will now be closed. We'll make it sticky and contain it in the politics section of the forum for the duration of his visit. In the due course, if there are changes to the contact number shown above, please alert us and we will amend accordingly. Otherwise, we hope you have good discussions with the honorable gentleman. Thank you !
 
Zitto yupo US...
Hili ni Tangazo, Mbaya zaidi eti umekuwa sticked katika ukumbi wa siasa!
Shame on you...!
 
Zitto yupo US...
Hili ni Tangazo, Mbaya zaidi eti umekuwa sticked katika ukumbi wa siasa!
Shame on you...!

Waambie Jakaya, Shein, Chenge, Lowassa et al nao watoe namba za simu za huko walipo kwa ajili ya kuonana na wananchi zitawekwa kwenye stick. Zitto ni Mbunge kiongozi wa kisiasa, usidhani ni kama mkagagagigikoko mwengine. He is a public leader, perid!

Asha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom