Hatimaye Maandamano ya CHADEMA Mkoani Mbeya leo Februari 20, 2024, yameleta faraja kubwa na kukata kiu ya kijana wetu Lucas Mwashambwa

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
28,391
81,867
Nyinyi ndugu zangu humu jukwaani ni mashahidi. Kijana wetu leo ametulia sana humu jukwaani. Bila shaka alisafiri kutoka kwao Mbozi, mpaka Mbeya Mjini ili kwenda kuwaona Makamanda wa Chadema live! Yaani moyo wake utakuwa umesuuzika baada ya kuwaona Makamanda kama Lissu, Mbowe, na wengineo live badala ya kuwaona kupitia luninga.

Kama mambo yataendela kuwa hivi, naamini muda si mrefu huyu Kijana wetu Mzalendo anaweza kuvaa magwanda na kuwa Kamanda wa Chadema ili kupigania ukombozi wa hii nchi kutoka kwa hawa Wakoloni wetu weusi.
 
umemu ovarrate sana huyu jamaa mpaka kumfungulia uzi wakati sio wa kihivyo.
Tate Mkuu nakuvua nyota moja.😁
Yawezekana akawa "overrate" kama ulivosema lakini angalau he stood for something, he fights and giving knowledge to the people kitu ambacho sina hakika kama wewe kwa namna yoyote ile unao huo ubavu wa kufanya au kutenda kama yeye.
 
😀😀😀 haiwezi ikatokea hata kwa bahati mbaya mimi nikawa mwana CHADEMA ,chama kilichokosa nuru,Dira,sera na ajenda za kueleweka zaidi ya kupigania maslahi yao binafsi ya kuwaneemesha kama vile ambavyo kwa sasa chama linapigania uwepo wa wabunge wawili katika kila jimbo.

Mimi nitaendelea kuiunga mkono CCM na serikali yake ya CCM chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa mzalendo wa kweli Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika,, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.

Mbeya ni salaama katika mikono salama ya Dkt Tulia Acksoni Mwansasu, Rais wa umoja wa mabunge Duniani ,dada wa Taifa na msomi Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini.

Hakuna mwana Mbeya mwenye akili Timamu anayeweza kupoteza kura yake kuipa CHADEMA katika uchaguzi wa aina yoyote ile. kosa hilo haliwezi kurudiwa kamwe na wanambeya kuifanya Mbeya kuonekana kama ya wahuni wahuni tu.
 
Ni suala tu la muda. Ukiendelea kuzisikiliza hotuba za Makamanda utagundua huko uliko umepotea. Hicho chama chenu ni cha Kisultani. Na kwa bahati mbaya, wewe hutokei kwenye familia ya hao Masultani.
 
haiwezi ikatokea hata kwa bahati mbaya mimi nikawa mwana CHADEMA ,chama kilichokosa nuru,Dira,sera na ajenda za kueleweka zaidi ya kupigania maslahi yao binafsi ya kuwaneemesha kama vile ambavyo kwa sasa chama linapigania uwepo wa wabunge wawili katika kila jimbo.

Na kamwe Chadema haiwezi kupokea taahira kama wewe.
 
Hivi ni wapi Africa hii ambapo maandamano ya amani kama haya ya CDM yamewahi kuleta mabadiliko yoyote?

Si ni sawa na vikundi vya jogging tu vya mtaani kwa watawala.

Angalia mfano yaliyomlegeza shingo Ruto hapo jirani yalikuwaje.
 
Nyinyi ndugu zangu humu jukwaani ni mashahidi. Kijana wetu leo ametulia sana humu jukwaani. Bila shaka alisafiri kutoka kwao Mbozi, mpaka Mbeya Mjini ili kwenda kuwaona Makamanda wa Chadema live! Yaani moyo wake utakuwa umesuuzika baada ya kuwaona Makamanda kama Lissu, Mbowe, na wengineo live badala ya kuwaona kupitia luninga.

Kama mambo yataendela kuwa hivi, naamini muda si mrefu huyu Kijana wetu Mzalendo anaweza kuvaa magwanda na kuwa Kamanda wa Chadema ili kupigania ukombozi wa hii nchi kutoka kwa hawa Wakoloni wetu weusi.
Kama mambo yataendela kuwa hivi, naamini muda si mrefu huyu Kijana wetu Mzalendo anaweza kuvaa magwanda na kuwa Kamanda wa Chadema ili kupigania ukombozi wa hii nchi kutoka kwa hawa Wakoloni wetu weusi.
35f3b35ea49140a68a6174260a426d77.jpg
 
Ni suala tu la muda. Ukiendelea kuzisikiliza hotuba za Makamanda utagundua huko uliko umepotea. Hicho chama chenu ni cha Kisultani. Na kwa bahati mbaya, wewe hutokei kwenye familia ya hao Masultani.
Tate mkuu hiyo nyota aliyoitoa jamaa isharudi huna baya umemwelewesha vzuri jamaa taratibu ataelewa nenda nae polepole.....
 
haiwezi ikatokea hata kwa bahati mbaya mimi nikawa mwana CHADEMA ,chama kilichokosa nuru,Dira,sera na ajenda za kueleweka zaidi ya kupigania maslahi yao binafsi ya kuwaneemesha kama vile ambavyo kwa sasa chama linapigania uwepo wa wabunge wawili katika kila jimbo.

Mimi nitaendelea kuiunga mkono CCM na serikali yake ya CCM chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa mzalendo wa kweli Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika,, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.

Mbeya ni salaama katika mikono salama ya Dkt Tulia Acksoni Mwansasu, Rais wa umoja wa mabunge Duniani ,dada wa Taifa na msomi Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini.

Hakuna mwana Mbeya mwenye akili Timamu anayeweza kupoteza kura yake kuipa CHADEMA katika uchaguzi wa aina yoyote ile. kosa hilo haliwezi kurudiwa kamwe na wanambeya kuifanya Mbeya kuonekana kama ya wahuni wahuni tu.
e062220cb60d94a64328eb32a2a66bd5.jpg
 
Nyinyi ndugu zangu humu jukwaani ni mashahidi. Kijana wetu leo ametulia sana humu jukwaani. Bila shaka alisafiri kutoka kwao Mbozi, mpaka Mbeya Mjini ili kwenda kuwaona Makamanda wa Chadema live! Yaani moyo wake utakuwa umesuuzika baada ya kuwaona Makamanda kama Lissu, Mbowe, na wengineo live badala ya kuwaona kupitia luninga.

Kama mambo yataendela kuwa hivi, naamini muda si mrefu huyu Kijana wetu Mzalendo anaweza kuvaa magwanda na kuwa Kamanda wa Chadema ili kupigania ukombozi wa hii nchi kutoka kwa hawa Wakoloni wetu weusi.
Nini kinaendelea huko
 
Back
Top Bottom