Songoro
JF-Expert Member
- May 27, 2009
- 4,122
- 1,022
Kwa sisi wataalamu wa kugundua tabia za watu wakiongea ukweli, hapa Zitto kasema ukweli...lkn alitakiwa aendlee mbele kidogo tu kusema ni kwanini CCM wamemlenga sana yeye na si mtu mwingine..pia ni wakati sasa aseme wazi uhusiano wake na Jack Zoka ulikuwa katika misingi gani ilhali inaaminika wazi kuwa TISS inatumika kuihujumu CDM ? akisema hilo na tutamuelewa....lkn pia awe mkweli?
mshauri Mbowe amruhusu ajielezee kwenye vikao vya Ndani si magazetini kuepusha malumbano, Hizo tuhuma mbona hazipelekwi kwenye vikao vya ndani zinaishia kwenye mwana halisi? Zitto Zubeir Kabwe unakubalika sana wabaya wako hivi sasa wamechanganyikiwa wanatembea na vibatari mchana kweupeee hawaoni mbele!