Zitto: CCM inachonganisha viongozi wa CHADEMA

Hapa wewe ndio umekurupuka,maana huyo bwana ana maswali ya ,msingi sana,kati ya ben na zitto kuna mmoja nimtu hatari sana kuendelea kuachwa akitamba ndani ya chadema,acha watupatie ufafanuzi zaidi nani ni mtu hatari kati yao na kwanini zitto anaonekana kama ni untouchable ndani ya cdm,aliwaponza kina kafulila yeye akaendelea kupeta leo hawa kina shonza sijui yeye bado yumo ,kuna nini hapa,je zitto ni mkubwa kuliko chadema au?

Nakuarifu kuwa Zitto sio untouchable ndani ya Chadema!
 
Mbinu ya utawala iitwayo "Divide and rule" ndiyo approach ambayo Magamba wanapenda kuitumia. Viongozi CDM kama mepaona hapo, angalieni msije kunasa na kupoteza mwelekeo. Lengo letu libaki kuwa ni lilelile; KUWAMWAAAAAGA!
 
Hata kama hamumpendi kwa sababu binafsi au hata kwa chama chake, lakini Zitto ni kiongozi kwa maneno hadi kwa vitendo vyake. Anasimami ahadi alizoweka, si mnaona? Viongozi wengine igeni basi hiyo mifano ili ndugu zetu huko mitaani wanufaike sio porojo tu za kujisifia na kusifia vyama vyenu.


Watanzania wanahitaji maendeleo vyama ni nyenzo tu.
 
Hivi wewe unajua maana ya neno SARAKASI au ni MSAMIATI kwako nyama ya mbavu wewe.

5.jpg
 
Hiyo ndiyo siasa kama hujui kujenga hoja na kujibu hoja achana na siasa Zitto ni mkali katika hiyo idara kaka endelea kuwa sumbua
 
Bwana zzt ni kiboka na anajua siasa si kama mnafiki Ben alianzisha majungu mwisho wa siku yamemshinda.
 
Mbona mnalainika kiuwepesi hivyo?........daah!

Wa Tz hilo ndilo tatizo letu kubwaa!
Wanasiasa wameshatufahamu tulivyo, kwamba huwa hatuna asili ya kuunganisha maneno waliyoyasema huko nyuma na wanayoyasema leo.
Na pia wanajua tunapenda sana kuambiwa maneno tunayotaka wayaseme...(kudanganywa), kwa hiyo wakituambia kuwa wao wanakipenda sana chama chetu (pamoja na kuwa matendo yao yako kinyume kabisa na maneno yao); mara moja unaona kila mtu anageuza bogi. Tayari anasahau yale ya jana na kuanza kutoa sifa za rejareja ... eti huyu shujaa na shupavu!!
ndio maana hadi leo wapo watu wanaamini kabisa kwamba EL anafaa kuiongoza nchi hii!

Aibuuuu!
 
Niliahidi kwamba, kama kuna kata itafanya vizuri kwa kuwa na viongozi wote wa Chadema kuanzia mtaa hadi udiwani, nitatoa zawadi na leo hii ninatangaza kulipa ada kwa wanafunzi wote wa kata hii kwa mwaka mzima,” alisema Zitto na kushangiliwa.

Harufu ya ufisadi....
 
Ata kama Zitto kabanishwa kwenye vikao na jasho likamtoka unadhani ataacha kutumia strategy ya kusick sympathy ya wanachadema
magazeti yaliyoaandika habari yake yeye pia huwa anaandikia huko kwa njia moja yanafanya juhudi za kumsafisha baada ya yeye kusoma mood ya wanachadema wenzake moja
Ameiingiza CCM eti inawachonganisha wakati yeye anatumikia CCM kwa namna nyingi tu kwa hiyo anaspin ukweli ili wanachama wenzake wamkubali
Anasema uongo eti alikatazwa kujieleza picha zilizotumwa hapa unamwona kaloa,karefuka kawa kama kalamu inamaana alikuwa anajieleza lakini anatafuta public sympathy anamanupulate ukweli kwa kutangaza kwamba hakusikilizwa kizuri wenzake wamemshit wamemuacha atapetape kama kuku aliyechinjwa na anajulikana kwa strategy zake za ufitini ataandika kama miezi miwili halafu story itakuwa imeisha lakini wanachama wenzake waliokuwa kwenye mkutano watakuwa wananthibitisha yale waliojadili kwenye kikao alichohudhuria
Anasema chadema hakuna haki na kuna upuuzi ndio maana hata vijana wa chadema walihamia NCCR ili kugombea ubunge lakini hasemi yeye alianzisha valangati la kuzoofisha chama Kigoma
Baada ya kikao kakimbilia kwao eti anajenga chama kwa miaka miwili nanusu alikuwa busy anaanzisha chauma chauma imebuma sasa anageuza maboya
Anasema chadema kuna ukanda lakini yeye amesikika mara nyingi akisema Raisi lazima atoke kigoma,anasema wanakigoma tuungane ili tutoe unyonge tuwe kitu kimoja sasa kama sio ukabila wake nini sasa
huyo ni head wa kubadilisha ukweli


Mkuu, inasikitisha kuona jinsi jamaa anavyowafumba macho wapiganaji hadi wanapotea maboya.
The guy is avery good strategist!
Ndie huyu ilisemekana huwa anaandika articles na kuwapelekea editors wa magazeti wazi publish jinsi zilivyo ila zionekane zimeandikwa na hao wahariri - kwa malipo!
 
Zitto akisema hivyo basi ni ameambiwa hivyo na viongozi wa CCM kwani ana mashabiki wengi sana - wake kwa waume, wazee kwa vijana kwenye NEC (CCM) na Kamati kuu (CCM), na sio ushabiki unaoendana na wao kumtumia Zitto kuharibu chadema bali kuvutiwa tu na utendaji na utanashati wake.
 
Yawezeka ikawa kweli...ila ZITTO ana matatizo binafsi ambayo CCM wana take advantage...japo siamini kama ni msaliti ndani ya chama........
Na hilo ndilo tatizo lake linaloumiza CDM na kuifadisha CCM.

Naamini atakomaa na kugundua hilo.

Mara nyingine kutozungumza (kukaa kimya) ni hekima na pia kuzungumza ni hekima pia.
Achague kipi cha kuzungumza NA WAKATI GANI kina athari gani kwa chama chake na kwa CCM.
 
Alivyokua anahojiwa kwenye kikao cha kamati kuu ya CDM kilichofanyika hivi karibuni inasemekana jamaa alivyoulizwa kwa nini hashiriki kwenye M4C alizira na kutoka nje ya ukumbi wa mkutano.
 
Nakubaliana na Zitto, mwanasiasa wa ukweli lazima ajue kuwa Zitto ni threat na lazima competitors wamtarget kwa total destruction ili wao wapite.


Nimeamini kweli,zitto katoka kigoma na ameaaga kwao.sikutegemea kabisa kama kuna mtu anaweza akamwamini zito tena kwa chochote atakachosema au kujitetea katika tuhuma zake za wazi kabisa haziitaji hata uwe na form 4 ya kata.

Ndugu zangu zitto ni kweli anatumika kuhujumu cdm,na maswahiba zake TISS na akina NAPE,Hata kwa sasa secretariate iliyoko kigoma haitathubutu kwend kumsema vibaya zitto kama walivyofanya kwa majimbo mengine.Jamani huyu ni Mtu hatari kwa mstakabari wa chama,tena kuliko hata shibuda.
 
“Kama ni urais wa Zitto, Mungu akipenda utatokana na Chadema na hautatoka nje ya chama hiki. Kama kuna matatizo ya ndani ya chama, tutayamaliza na kama kuna jambo zito, nitarudi kwenu wananchi wangu ili mniambie ni nini cha kufanya.""

Huyu jamaa bwana, eti nitarudi kwenu!! Anajua nini anakifanya ndio maana katoa statement kama hii!
 
Nimeamini kweli,zitto katoka kigoma na ameaaga kwao.sikutegemea kabisa kama kuna mtu anaweza akamwamini zito tena kwa chochote atakachosema au kujitetea katika tuhuma zake za wazi kabisa haziitaji hata uwe na form 4 ya kata.

Ndugu zangu zitto ni kweli anatumika kuhujumu cdm,na maswahiba zake TISS na akina NAPE,Hata kwa sasa secretariate iliyoko kigoma haitathubutu kwend kumsema vibaya zitto kama walivyofanya kwa majimbo mengine.Jamani huyu ni Mtu hatari kwa mstakabari wa chama,tena kuliko hata shibuda.

kuna watu ambao wanaangalia jambo kwa jicho moja, wengine kwa macho mawili, wengine matatu.

Kama unaangalia jambo kwa zaidi ya macho mawili hutaendeshwa na hisia na mazingira, ataongozwa na facts and figures.

Zitto ni tishio kisiasa na yuko targeted ndani na nje ya chama.
 
Ndugu zangu sasa mtailaumu CCM kwa kila tatizo litakalotokea kwenu? Kama kweli basi mnawambia watu kwamba CHADEMA siyo chama makini kama kinaweza kuingiliwa na kuvurugwa kiasi hiki.
CCM ni wataalamu wa propaganda na walifanikiwa kuvimaliza NCCR na CUF kimya kimya pasipo kugundulika. Kama CHADEMA inaweza hata kuwagundua kwamba wamepandikiza mamuluki ndani yake ili wakimalize, basi intelligensia ya CHADEMA si ya kawaida. Take it from me, hakijatokea chama makini hapa nchini kama CHADEMA.
 
Nimeamini kweli,zitto katoka kigoma na ameaaga kwao.sikutegemea kabisa kama kuna mtu anaweza akamwamini zito tena kwa chochote atakachosema au kujitetea katika tuhuma zake za wazi kabisa haziitaji hata uwe na form 4 ya kata.

Ndugu zangu zitto ni kweli anatumika kuhujumu cdm,na maswahiba zake TISS na akina NAPE,Hata kwa sasa secretariate iliyoko kigoma haitathubutu kwend kumsema vibaya zitto kama walivyofanya kwa majimbo mengine.Jamani huyu ni Mtu hatari kwa mstakabari wa chama,tena kuliko hata shibuda.
I concur you, ni mapema sana kurudisha imani kwa Zitto. Binafsi nitakuwa mtu wa mwisho kumwamini Zitto kwamba ni mwanasiasa safi. Vinginevyo atuambie kwamba amejirekebisha na sasa ameamua kuwa safi baada ya tishio la kutaka kung'olewa chamani.
 
watu wa Kigoma hatudanganyiki, 2015 tutawaonyesha kazi akina Serukamba, walichokifanya 2010 wasikitegemee tena maana tumeshawajua vizuri.
 
Back
Top Bottom