Hata msemeje ccm ni Chama dume
Mhhhhhhhhhhh.......! Hujitambui wewe.
Hata msemeje ccm ni Chama dume
Nawe unastahili kuzomewa. CCM imeingiaje kwenye suala la Zitto?Hata msemeje ccm ni Chama dume
Hata msemeje ccm ni Chama dume
Nawe unastahili kuzomewa. CCM imeingiaje kwenye suala la Zitto?
"Action speaks louder than words" sasa Bavicha Picha si mmeona? Sasa mnabisha nini kama kubisha ni fashion basi nyie mpo level ya mbali
... Aisifiaye Mvua, Imemunyea.!!
... Mkuu Unasoma Darasa La Ngapi?
Bavicha fanyeni yaliyo yenu achana na ZZK siyo wa Kwenu tena km mke ukimuacha unaendelea kuwa na wivu sasa ulimuachia nini?
Mbona wanamsikiliza kwa makini....
Lete kavideo kadogo
Akirudi bungeni nitavaa pampasi siku ya kuapishwa kwake!
Kwa huu mchakamchaka wacha Chadema wapagawe daa!!!
Bavicha endeleeni kujifariji na kujiliwaza hapa JF bila kufanya hivyo mnadhani itakuaje.
View attachment 260638