Zitto azomewa Bukoba

Zitto azomewa Bukoba

Vipi Dada una mihemko nini,mbona watokwa povu. Mambo ya mabwana yanatoka wapi tena?

Umenipanikisha Pale Unapo Tumia Mtandao Huu Nadhifu Ili Kufanikisha Adhma Yako Ya Kuendewa Kinyume Wakati Sie Tunajadili Hatma Ya Taifa We Unatafuta Wa Kukushughulikia We Vp? Usodoma Wako Peleka Uko Kwa Warundi Wenzio
 
Chadema ni mpango wa Mungu. Zitto ajuwe anajinajisi kukisema vibaya Chadema katika majukwaa ya siasa.
Mkuu kwa hiyo huyo Mungu ndiyo kaamua Chadema kiwe chama cha upinzani muda wote.
 
Nina uhakika simu yako ina camera, Mbona picha japo na video clip hujaweza weka, ingenoga zaidi
 
mtoa mada kavurugwa mwambien asubir mdahalo wa 18/6 aone babu slaa atavogalagazwa na wataalam.... stay tuned
 
Zitto kuzomewa ni dalili tosha chama cha msimu kinakaribia kufa.Zitto bado anamsubiri Lowasa?
 
mtoa mada kavurugwa mwambien asubir mdahalo wa 18/6 aone babu slaa atavogalagazwa na wataalam.... stay tuned

Ficha ujinga unatetea ujinga Zitto alizomewa jana kwenye mkutano kasome gazeti la mwananchi wameandika.
 
Hili jambo laweza kuwa kweli jana usiku Ndugu yangu mkaazi wa Bukoba kanieleza jambo hili nikadhani labda kazidisha chumvi.Ni kweli Zitto alizomewa sana.
 
Hii siyo picha ya leo Bukoba.

Ni bukoba ila sio bukoba mjini......haya bishia na hii
zitto 3.jpg
 
jifune kusoma picha na kuzilinganisha za sasa na za siku zilizopita usitazame picha zisome , hili jambo nililifafanua kipindi Mwigulu anajaza watu nikasema wanamsikiliza tu hizi hotuba watu huenda kupata habari mpya ama ya zamani kutoka kwa mtu mpya , ni viburudisho va akili si supporters wakati wote mliona matokeo ya alikojaza Mwigulu. fuatilia:-

Ukiona kwenye picha kina mama wanshangilia kila neno wako mbele wengi jua CCM,wenye sare hukaa mbele na kina mama hufuata kisha kina baba.

Ukiona mkutano una watoto wa kiume wachache kisha kina dada na kina mama wachache kisha kina baba wengi na vijana wenye nguvu wanasikiliza kwa makini jua CDM

ukiona mkutano wa chama chochote ukaona kundi la vijana na wababa wamekaa nyuma kwa wingi wameunda mstari wa mpaka usio rasmi na ni wengi sana jua CDM wanamsikiliza mpinzani wao kwa makini waelewe hoja zake sasa usipojua hilo utajikuta unashindwa kuhutubia na kujihatarisha
 
Nikiwa hapa Bukoba leo nimehudhuria mkutano wa ACT-Wazalendo katika uwanja wa Mashujaa. Kiongozi mkuu wa chama hicho,niko Zitto Kabwe alikuwa akihutubia.

Awali alianza kueleza sababu za kuondoka CHADEMA, akisema sio kosa kubadilisha jukwaa la siasa. watu walikuwa wakimpigia makofi tu.

Lakini hali ya mkutano ilibadilika na kuwa mbaya pale alipoanza kujisifu kuwa yeye ndiye aliyeagiza hesabu za CHADEMA zikaguliwe na CAG, kisha akaitwa msaliti na kamati kuu ya CHADEMA.

Hapo wananchi waliokuwa uwanjani hapo wakaanza kupiga kelele wakisema 'sio kweli, sio kweli, sio kweli".

Ilibidi Zitto abadilishe mahubiri na kuanza kueleza msimamo wa chama chake. Lakini watu wakawa hawamsikilizi tena. Wengine walisikika wakisema, "kama umekuja hapa eleza ya chama chako, ya CHADEMA uyaache,".

Kama hiyo haitoshi, Zitto akaanza tena majigambo akisema eti alipokuwa bungeni aliiangusha serikali mara tatu, "Hao wanaokuja kunitukana waseme wamefanya nini bungeni" alisema Zitto.

Watu waliendelea kuzomea hadi Zitto akasema, "Kama hamtaki kunisikiliza naondoka zangu,". Watu wakajibu,waliendelea kuzomea " Nendaaa...!

Hata hivyo mkutano umeisha salama.

Kwa kweli Zitto ana kazi ngumu kuijenga ACT-Wazalendo?


Msaliti kasalitiwa
 
Bila kusahau Babu slaa akazini na bibi yako wakafanikiwa kumpata dj Zero ambae ni mjombaako bichwa maji ww
Akazini tena na mama yako akaona haitoshi kazaa na Mtoto aitwaie Bombey...
 
Namshauri Zitto kama anataka kukipaisha chama chake aongee sera za Chama, vinginevyo Watamchinjia mbali, aje huku mwanjelwa tunamsubiri

Hawezi kuzungumzia sera za chama chake kwani chama chake hakina sera bali kimesajiliwa kwa lengo kuu la kupunguza nguvu ya vyama vya upinzani.
 
tupieni you tube hicho kipande ss kazi yetu itakuwa kusambaza dunia nzima
 
Wana JF.

Juzi tulikuwa tunapata chakula mchana hapa stendi Bukoba Mjini mara akatokea Zitto na wafuasi wake kama sita sujui ndiyo walinzi wake hata sikutaka kuuliza, bahati nzuri akatusalimia na kukaa jirani yetu wakaangiza chakula.

Baada ya kumaliza kula angaanza kutueleza mambo yake ya ACT watu wakasogeza viti vyao kumsikiliza.

Kaongea point nyingi sana kuhusu hali yetu ya taifa alichokikosea kumtaja Mbowe na Slaa kuwa wanaiendesha CDM kwa mkono wa chuma basi kuanzia hapo zomea zomea ikaanza akaondoka na kuingia kwenye gari lao nakuondoka.

Mkuu ungemuuliza yeye yupo ACT tayari, hayo ya CDM yanamuhusu nini?? Aache kiranga kisichomuhusu...
 
Nimekwambia badili ID yako haikufai,mchana unakuja hapa kurusha povu wakati usiku unakesha kimboka!hebu lala dada huruma ww!
Mbona Unanikosea Adabu Humu Wakati Apo Bar Nikija Unanipa Huduma Bora Tena Zote Na Adabu Ya Hali Ya Juu Mkuu
 
Back
Top Bottom