Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Kwa hiyo mlikisaliti chama kwa kurubiniwa na mafuta ya wasaliti ili mumpe kick. Basi kama ni usaliti tunao sisi wafuasi na sio viongozi wetu.
Act ni mtoto wa ccm.
Kwa hiyo mlikisaliti chama kwa kurubiniwa na mafuta ya wasaliti ili mumpe kick. Basi kama ni usaliti tunao sisi wafuasi na sio viongozi wetu.
Act ni mtoto wa ccm.
hawa wanao mzomea ni ACT ama, kama sio ACT wanafata nini mikutano ya ACT.
Mdharau mwiba humchoma
yy angekuwa anajikita kukielezea chama cha mfukoni kwake kulikobkutafuta kiki kwa kuiponda cdm hapo ndo watu wanaamini kuwa jamaa lengo lake ni kuiua cdm na si kujenga demokrasi
Watu wengine unawapuuza tuuAcha ushabiki we mbuzi,nani asiejua kuwa mbowe na mkwe wake Mtei ndo mamungu wa cdm?Juzi dj mbowe alikuwa hapa segerea liwiti hakuwa na sera yoyote zaidi yakumtaja Zitto tu.Tulieni iwaingie, cmnajua kuwa haina mabega?
Teh teh teh teh teh!Sasa na wew unaona sawa watu wanaendeleza propaganda na wew bila kufikiria unakubali tu Kama zuzu ,CAG = CDM?
Zitto ni kiongozi mahiri, ni MZALENDO wa kweli piga kazi kijana achana na waongo wa mitandaoni
watu mnavyo viwanda vya uongo balaa. nawewe unatofauti gani na mafisadi. mimi nilikuwepo mbona hilo sikuliona? wewe tu ndio ulikuwa kwenye huo mkutano?. ukweli ni kwamba mkutano wa zotto leo ulifana na haijawahi pata tokea. kijana anakipawa kikubwa cha kupenda.
Najua na vipi kuhusu cuf na nccr mageuzi?
Zitto ni kiongozi mahiri, ni MZALENDO wa kweli piga kazi kijana achana na waongo wa mitandaoni