Zitto azomewa Bukoba

Zitto azomewa Bukoba

Mkuu CHADEMA wanaichukia CCM kwasababu Dr. Slaa ni mwanachama hai wa CCM na hakuwahi kuikana na kurudisha Kadi ya mwanachama.

Mkuu kama upo BK tutafutane tunyukane kwa hoja maana naona hapa kwenye mtandao unasaidiwa na walevi wenzio wa Ufipa.

Ni Kitu Gani Umekiweka Hapa Unachokiita Hoja We Sema Unataka Kukutana Na Gegedu Lake Ila Kuhusu Hoja Huna
 
Mpigeni na mikungu ya ndizi huyo msaliti

Muteze endiralila abonwe abekihanda
 
utafiti nilioufanya kwa muda mrefu sana , nimegundua kwamba MUNGU HANA KAMATI , ni vigumu sana wasaliti kusalimika maana Mungu hana wajumbe wa kujadiliana nao , LAANA YA USALITI NI MBAYA MNO !

1:Kula kiapo cha kutumikia upadre mpaka kufa kwako mbele ya madhabahu alafu ukaacha

2:katika ukristo kilichounganishwa na Mungu binadamu hawezi kutengua, na amuachaye mkewe au mumewe na akaenda kuoa au kuolewa basi anazini.

Josephine akufunga ndoa ya kanisani? Na je kwa mujibu wa andiko bado ni mke halali wa mtu? Kama mke halali padre anazini? Na kama anazini kasaliti kiapo cha upadre? Na kama kasaliti kiapo kamsaliti hadi Mungu? Na kama kamsaliti Mungu je Mungu ana haja ya kujadiliana nae? LAANA YA MUNGU NI MBAYA SANA.Hapa ndio tutajua msaliti ni nani na nani sio msaliti.
 
Hata mpumbavu ana haki ya kuckilizwa watu kujaa ktk mkutano siyo lazima kwamba wao ni wanachamaaaa..pole zzk na watu wako
 
Kuna Mbuge Wa Ccm Viti Maalumu Kutoka Kigoma Eti Kauliza Hivi Ukawa Wakishinda Watapata Wapi Katiba Yao Na Bendera Ya Nchi Yao Na Watakaa Ikulu Ipi? Huyu Ni Mbunge Mpumb.Avu Kiasi Hiki Je Mwanamwandiga Aloishia La Saba Itakuwaje Jamani Ccm Mnatuuwaa
 
Chadema ni mpango wa Mungu. Zitto ajuwe anajinajisi kukisema vibaya Chadema katika majukwaa ya siasa.
 
Mkuu ndiyo maisha,kwani alidanganywa kuwa nyota yake itaendelea kama alivyokuwa cdm

kama njota ya ZZK haing'ai kwa nini mnajisumbua kwenda kwenye mikutano yake?au mnaenda kujaribu kuizima? bavicha mpo busy kumjadili kila siku alafu mnasema amepotea kisiasa, acheni mihemko ya kisiasa.
 
Tena huku kwetu lazima tumpopolee mawe mhuni huyo
 
Hahhahhaah mshikaji anawakosesha sana usingizi kila anapokanyaga kadi zinang'ang'aniwa km njugu vile dah
 
Nikiwa hapa Bukoba leo nimehudhuria mkutano wa ACT-Wazalendo katika uwanja wa Mashujaa. Kiongozi mkuu wa chama hicho,niko Zitto Kabwe alikuwa akihutubia.

Awali alianza kueleza sababu za kuondoka CHADEMA, akisema sio kosa kubadilisha jukwaa la siasa. watu walikuwa wakimpigia makofi tu.

Lakini hali ya mkutano ilibadilika na kuwa mbaya pale alipoanza kujisifu kuwa yeye ndiye aliyeagiza hesabu za CHADEMA zikaguliwe na CAG, kisha akaitwa msaliti na kamati kuu ya CHADEMA.

Hapo wananchi waliokuwa uwanjani hapo wakaanza kupiga kelele wakisema 'sio kweli, sio kweli, sio kweli".

Ilibidi Zitto abadilishe mahubiri na kuanza kueleza msimamo wa chama chake. Lakini watu wakawa hawamsikilizi tena. Wengine walisikika wakisema, "kama umekuja hapa eleza ya chama chako, ya CHADEMA uyaache,".

Kama hiyo haitoshi, Zitto akaanza tena majigambo akisema eti alipokuwa bungeni aliiangusha serikali mara tatu, "Hao wanaokuja kunitukana waseme wamefanya nini bungeni" alisema Zitto.

Watu waliendelea kuzomea hadi Zitto akasema, "Kama hamtaki kunisikiliza naondoka zangu,". Watu wakajibu,waliendelea kuzomea " Nendaaa...!

Hata hivyo mkutano umeisha salama.

Kwa kweli Zitto ana kazi ngumu kuijenga ACT-Wazalendo?

Nadhani angekuwa anajielewa angetulia kwanza hata mwakahivi akasomaupepo kisha angeanza upya. Amekurupuka sana kutoka asubui chadema mchana act.
 
hahaa bavicha bana. oooh nyota ya zitto haing'ai sasa kwanini mnakaa hapa kutunga majungu dhidi yake?
 
Hakuna Rukhsa Kutumia Mtandao Huu Kutafuta M.A.B.W.A.Na Kama Ni Ucamerun Wako Utashughulikiwa Na Wa.h.Aya Wenzio Hapo Kwenye Kimji Chenu Kibovu

Vipi Dada una mihemko nini,mbona watokwa povu. Mambo ya mabwana yanatoka wapi tena?
 
Back
Top Bottom