Zitto azomewa Bukoba

Zitto azomewa Bukoba

Wakitoe wapi hicho kipande?6abari zakutunga hazina vipande bali ina vizima visivyo na mabega,vinaingia kiulainiii
tupieni you tube hicho kipande ss kazi yetu itakuwa kusambaza dunia nzima
 
Nimekwambia badili ID yako haikufai,mchana unakuja hapa kurusha povu wakati usiku unakesha kimboka!hebu lala dada huruma ww!

Sina Shaka Na Wewe Mana Nakujuawa Watu Wenye Virus Vya Us.E.Ng.E Kama We Mara Nyingi Huwashwa Na Nyet Zao Za Nyuma Hali Inayosababisha Kuzama Huku Ukitafuta Tiba
 
Hahahaha mkuu liverfool mbn unaweweseka sana huyo ndio zitto bwana makengeza alifanya worst move kumuekea zengwe msaliti kageuka asali kwa wananchi dah. Huyu ukimchukulia kwa mwili wake utaona kanyepesi lkn ukijua nguvu alokuwa nayo nyuma ya pazia utajua km ni mzitto khaswaa
 
Wana JF.

Juzi tulikuwa tunapata chakula mchana hapa stendi Bukoba Mjini mara akatokea Zitto na wafuasi wake kama sita sujui ndiyo walinzi wake hata sikutaka kuuliza, bahati nzuri akatusalimia na kukaa jirani yetu wakaangiza chakula.

Baada ya kumaliza kula angaanza kutueleza mambo yake ya ACT watu wakasogeza viti vyao kumsikiliza.

Kaongea point nyingi sana kuhusu hali yetu ya taifa alichokikosea kumtaja Mbowe na Slaa kuwa wanaiendesha CDM kwa mkono wa chuma basi kuanzia hapo zomea zomea ikaanza akaondoka na kuingia kwenye gari lao nakuondoka.

Ulimwengu wa smartphone umeshindwa kumrekodi?
 
Back
Top Bottom