Zitto azomewa Bukoba

Zitto azomewa Bukoba

Wana JF.

Juzi tulikuwa tunapata chakula mchana hapa stendi Bukoba Mjini mara akatokea Zitto na wafuasi wake kama sita sujui ndiyo walinzi wake hata sikutaka kuuliza, bahati nzuri akatusalimia na kukaa jirani yetu wakaangiza chakula.

Baada ya kumaliza kula angaanza kutueleza mambo yake ya ACT watu wakasogeza viti vyao kumsikiliza.

Kaongea point nyingi sana kuhusu hali yetu ya taifa alichokikosea kumtaja Mbowe na Slaa kuwa wanaiendesha CDM kwa mkono wa chuma basi kuanzia hapo zomea zomea ikaanza akaondoka na kuingia kwenye gari lao nakuondoka.
 
dhambi ni dhambi hata uwe BUkoba

utafiti nilioufanya kwa muda mrefu sana , nimegundua kwamba MUNGU HANA KAMATI , ni vigumu sana wasaliti kusalimika maana Mungu hana wajumbe wa kujadiliana nao , LAANA YA USALITI NI MBAYA MNO !
 
Mlikuwa mnapata chakula Hotel/Mgahawa gani hapo stand?
 
View attachment 260639View attachment 260635View attachment 260638View attachment 260636
DUH... AISEE NAONA WANANCHI WA BUKOBA WAKIZOMEA KWA MAKINI SANA......LITAWAPWELEPWETA MKIA HAUWEZI KUTIKISA NGO'MBE....Hizo ni za rasharasha za masika bado:smow::smow::smow:
sasa uliza wanachama wa ACT kwenye kundi hilo ni wangapi ? utazimia mkuu , ukiacha viongozi waliosafiri wengine wakifika hata 10 yatakuwa maajabu , halafu watu kuwepo kwenye mkutano wako si lolote ! kinana anafanya mikutano karatu na watu wanajaa lakini ukweli ambao hata wewe unaujua ni kwamba hakuna ccm pale !
 
Kwa Tanzania jinsi watu walivyo wapole na waoga hadi kufikia kuzomewa kwa mwanasiasa ujue wameumia sana moyoni ......angalia wanasiasa waliowai kuzomewa km bado wapo kwenye siasa.......msalit zzk Ipo siku atakir hadharan ulikosea..japo kwa saiz inakir moyon
 
Kweli kabisa mungu kamati,Slaa kamsaliti yesu na bado akaona haitoshi akapokonya mke wa mtu,nabado akaona haitoshi akapiga mimba mke wa mtu.Lakin akaona bado haitoshi akaona nibora aendelee kuzini na mke wa mtu mpaka leo.Laana ya mungu haitomwacha kamwe!!
utafiti nilioufanya kwa muda mrefu sana , nimegundua kwamba MUNGU HANA KAMATI , ni vigumu sana wasaliti kusalimika maana Mungu hana wajumbe wa kujadiliana nao , LAANA YA USALITI NI MBAYA MNO !
 
sasa uliza wanachama wa ACT kwenye kundi hilo ni wangapi ? utazimia mkuu , ukiacha viongozi waliosafiri wengine wakifika hata 10 yatakuwa maajabu , halafu watu kuwepo kwenye mkutano wako si lolote ! kinana anafanya mikutano karatu na watu wanajaa lakini ukweli ambao hata wewe unaujua ni kwamba hakuna ccm pale !

Aiseee mnahangaika sana mbona,kama sio wanachama wanatafuta nini hapo,au ndio wameandaliwa kuzomea?

Act your age bro, usiwe kama mtoto.Siasa za majitaka sio nzuri wa ustawi wa taifa letu.
 
Kweli kabisa mungu kamati,Slaa kamsaliti yesu na bado akaona haitoshi akapokonya mke wa mtu,nabado akaona haitoshi akapiga mimba mke wa mtu.Lakin akaona bado haitoshi akaona nibora aendelee kuzini na mke wa mtu mpaka leo.Laana ya mungu haitomwacha kamwe!!

Akazini tena na mama yako akaona haitoshi kazaa na Mtoto aitwaie Bombey...
 
Aiseee mnahangaika sana mbona,kama sio wanachama wanatafuta nini hapo,au ndio wameandaliwa kuzomea?

Act your age bro, usiwe kama mtoto.Siasa za majitaka sio nzuri wa ustawi wa taifa letu.

kwani wanaoenda kwenye mkutano Ni wanachama tu...
 
Mbona hauulizi kwanini cdm wanaichukia sana ccm? Zzk ni ccm

Mkuu CHADEMA wanaichukia CCM kwasababu Dr. Slaa ni mwanachama hai wa CCM na hakuwahi kuikana na kurudisha Kadi ya mwanachama.

Mkuu kama upo BK tutafutane tunyukane kwa hoja maana naona hapa kwenye mtandao unasaidiwa na walevi wenzio wa Ufipa.
 
unarudia yale yale yanayomfanya msaliti azomewe
 
kwani wanaoenda kwenye mkutano Ni wanachama tu...
Mikutano kama kokoro,kwamba linabeba kila kitu,kuna wanachama ambao wanakuwa wengi,kuna wanaokuwa na mission zao kama Wazomeaji wa CHADEMA,kuna wasikilizaji ambao uvutiwa na sera za chama ama mtu binafsi,kuna wafuata mkumbo.
 
Back
Top Bottom