Zitto azomewa Bukoba

Zitto azomewa Bukoba

Kapwela

Ni kweli mkutano ulijaa, Lakini wengi walikuwa Chadema na walikuwa wakizomea tu.
 
Last edited by a moderator:
hebu acha uongo mweupe wewe unadhan kwenye mkutano ulikuwepo wewe tu? mbona hutaj idadi ya waliorudisha kad zenu hizo ? mbona husem maandamano aliyofanyiwa?? nimeamin kwel unafk mbaya!! ulijua hakuna tunaofatilia et?

Sasa si ndiyo utuambie wewe!
 
hebu acha uongo mweupe wewe unadhan kwenye mkutano ulikuwepo wewe tu? mbona hutaj idadi ya waliorudisha kad zenu hizo ? mbona husem maandamano aliyofanyiwa?? nimeamin kwel unafk mbaya!! ulijua hakuna tunaofatilia et?

Wacha kutokwa na povu kama umekula sumu,tuwekee picha tuone hao watu.
 
Nimewapenda Bukoba,Mnajielewa vyema

Amekoma, watakuja kukanusha hapa ndungu zake.

Hapana, ni wa ccm.

Maskini msaliti naomba uje arusha tukupe haki yako sawasawa na usalit wako.

Wakati nyie mnaimba taarabu humu kwa kufarijiana kwa uongo, mwenzenu yupo field anabadilisha fikra za watu.
11141166_928318333900806_5518446388321706538_n.jpg

Endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe!!
11257888_928324670566839_4365890261252138359_n.jpg
 
Niliona watu wanapiga makelele ckujua kwanin,nilipokabia niliona kama kina kuzomewa lakin skutaka kufuAtlia ni kwann maana nilkuwa napita na nilikuwa na haraka.

Hata hivi kwa ztto kazomewa sehem nying

Mkuu afadhali umetupa ukweli
 
Ina maana yeye anaangalia personal glory ya kuiangusha serikali! Kiazi kweli huyu
 
Mimi naamini huyu bwana Mdogo atapata aibu kubwa siku za usoni nahii nifundisho kwa wanasiasa wanaoweka mbele matumboyao huku wakidhani Watanzania waleo niwale wa miaka ya 90.Ngoja nahuo Ubunge aukose kabisa hapa kigoma ndio ajue kwamba haikuwa kwa Kabourou tu
 
CHADEMA tunatafuta kutawala,act ndio mnajijenga kwa watu ili wawajue
 
Act hata diwani hamtapata uchaguzi ujao
 
Back
Top Bottom