Zitto azomewa Bukoba

Zitto azomewa Bukoba

Kumbe picha wanazo post ni za kuchakachua?

Mimi naamini huyu bwana Mdogo atapata aibu kubwa siku za usoni nahii nifundisho kwa wanasiasa wanaoweka mbele matumboyao huku wakidhani Watanzania waleo niwale wa miaka ya 90.Ngoja nahuo Ubunge aukose kabisa hapa kigoma ndio ajue kwamba haikuwa kwa Kabourou tu

Endelea kufarijiana kwa uongo wakati mwenzetu anabadilisha watu field.
 
Mshaurini zzk akagombee afisa mtendaji
 
Huyu amekosa sera anaona aongelee chadema, kwanini asiongelee chama ambacho yeye ni mungu
 
Bavicha mnakazi kubwa sana,Zitto huyoooooooo anachanja mbuga
 
Bavichaa bwana cjui mmekula maharage ya wapi nyie!Eti mnandoto za kutawala wakat adui yenu hamumjui!!!Zitto c sizw yenu hebu mwacheni kabisa.
Cdm tunatafuta kutawala,act ndio mnajijenga kwa watu ili wawajue
 
Acha ushabiki we mbuzi,nani asiejua kuwa mbowe na mkwe wake Mtei ndo mamungu wa cdm?Juzi dj mbowe alikuwa hapa segerea liwiti hakuwa na sera yoyote zaidi yakumtaja Zitto tu.Tulieni iwaingie, cmnajua kuwa haina mabega?
Huyu amekosa sera anaona aongelee chadema, kwanini asiongelee chama ambacho yeye ni mungu
 
watu mnavyo viwanda vya uongo balaa. nawewe unatofauti gani na mafisadi. mimi nilikuwepo mbona hilo sikuliona? wewe tu ndio ulikuwa kwenye huo mkutano?. ukweli ni kwamba mkutano wa zotto leo ulifana na haijawahi pata tokea. kijana anakipawa kikubwa cha kupendwa.

Si tunasemea Zitto we unaongelea zotto na kipaji cha kupendwa!!
 
ACT itampa shinikizo la damu tu.
Afanye maamuzi magumu arudi tu CCM.
 
Hahhahahahs bavicha mnaweweseka sana kwl zitto anafanya watu wahare
 
The A.yatollah Pontiff Zitto would now have his ego stroke by tye masses and dance like a prima donna ballerina

Hapa naimani hata Zitto hajaelewa! Legeza lugha to help stiff necked ayaaaatollah aelewe
 
Azomewe tu,kwa sababu ni mnafiki!
 
Uwa nacheka sana Bavicha wanapambana na Zitto JF wakati Zitto yupo field anasambaza Uzalendo.

Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Pro - Chadema msipokuwa makini Zitto atawafanya muwe machizi maana kila Bavicha mpaka viongozi wao wote wamepagawa.
 
Last edited by a moderator:
Bavichaa mmepewa majukumu makubwa sana, kuzia mafuriko kwa mikono!!! Hata kwanini Zitto atabaki kuwa Zitto tu na anazidi kuchanja mbuga
Mshaurini zzk akagombee afisa mtendaji
 
yani huku mnapotosha sana watu hii bukoba ingekua marekani ingekua kazi sana yani
 
Back
Top Bottom