Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 54,129
- 43,204
Kamanda mbona umeandika kinyonge hivyo, umerusha taulo baada ya kuona picha za Bukoba.Zitto kwisha
Kamanda mbona umeandika kinyonge hivyo, umerusha taulo baada ya kuona picha za Bukoba.Zitto kwisha
Mtu yupo Karatu akisikia tu jina la Zitto anatoka mbio kuja kurusha ngumi JF.
Kamanda komaa na uzi Mbowe anakusoma.Alizomewa kinana mpaka hata Mimi nikajisikia aibu ikabidi nitoke uwanjani niende Q bar nikajipongeze
hakuna watu wenye wakati mgumu kipindi hiki cha zitto kama vijana wa bavicha, wanatia huruma kwa kweli, hawakuzoea upinzani mkali kama wanaoupata kutoka act, walizoea kuwaburuza tlp, nccr, nra ,tadea na nld
Kamanda komaa na uzi Mbowe anakusoma.
Kamanda komaa na uzi Mbowe anakusoma.
Kamanda mbona umeandika kinyonge hivyo umerusha tauro baada ya kuona picha za Bukoba.
watu mnavyo viwanda vya uongo balaa. nawewe unatofauti gani na mafisadi. mimi nilikuwepo mbona hilo sikuliona? wewe tu ndio ulikuwa kwenye huo mkutano?. ukweli ni kwamba mkutano wa zotto leo ulifana na haijawahi pata tokea. kijana anakipawa kikubwa cha kupenda.
Kamanda unaniwekea picha za Tumaini Makene ambazo zinatengezwa UFIPA.Picha gani mkuu za kumfanya mtu awe mnyonge? Au wewe uwanja wa mayunga hauujui?
ona hata Aibu basi
Kajifunze Kiswahili kwanza.
Hahahah,wewe kweli Una mahaba na zitto,kwani Kama nilikuwa na maandamano,si waliwejewa mafuta,na Kama kuna kadi zilirudishwa huyo ni kawaida ya vyama Ku set up jukwaa LA kurudisha kadi.
Jana zzk kazomewa katoro na geita mkabisha,mwanza tuliwekewa mafuta kwenye tukutuku na Costa zetu mkabisha kweli nyie wafuasi wa zzt mna roho ngumu Dana,hamkubaliki lakini mmoja tu.
Mimi fikra zangu zipo huru nachangia chochote nichojisikia tofauti na wewe ni Chadema tu kumsifia Mbowe na Slaa.Ritz naona umeamua kuja kuondoa stress zilizotokana na lumumba kuwa ktk hali tete