Zitto awashambulia watangaza nia wa CCM

Zitto awashambulia watangaza nia wa CCM

Wewe Gininiga ebu jaribuni kumshauri Boss wenu Membe kuwa mbinu zake kwa Sasa zimekuwa analogia aache kwani kila mtu ameshamjua kwanza Hana sura ya Mvuto hata kuongea hajui sauti yake utazani anaongelea Uvunguni , mwambie kazi ya Urais si ya majaribio na watu wenye fitna kama yeye hawana nafasi , kwanza ajiandae kwenda The Hague kujibu tuhuma za wizi wa pesa za wa-Libya asifikiri yupo mbinguni watu wapo wanamchora wanamtegea ajiingize kingi .

Jina lako very unique aisee ushuzi.1 . Vipi kuna uhusiano kati ya jina hilo na unachoandika? I am just thinking loudly
 
Mkuu wewe ndo kilaza namba moja, wewe ndio laki si pesa wa Cdm
Mkuu huo usajili mpya wa Chadema unatupia post kama hauna akili nzuri.

Kila mtu anataka kum-quote nimecheka sana eti laki si pesa wa Chadema.

Teh teh teh teh
 
Jina lako very unique aisee ushuzi.1 . Vipi kuna uhusiano kati ya jina hilo na unachoandika? I am just thinking loudly

Akili ni nywele kila mtu ana zake hivi Kama kila jina lingekuwa na uhusiana na kinachoandikwa tungesoma nini humu ? Fikiria taratibu si loudly au Kwa kukariri.
 
Mkuu huo usajili mpya wa Chadema unatupia post kama hauna akili nzuri.

Kila mtu anataka kum-quote nimecheka sana eti laki si pesa wa Chadema.

Teh teh teh teh
Jamaa anakera sana mkuu, halafu invyoonesha kichwani mweupe sana
 
Vijana wa Bavicha kweli mnazidi poteza dira kwakukubali kuwa misukule wa Mbowe na Slaa. Sasa hvi Zitto anavyeka vichaka mji hadi na kupalilia magugu.
 
Mtu anayeamini uchawi kuwa ndiyo nguzo yake hawezi fika mbali zitto angegombea kuwakilisha wachawi wenzake kama hizo nafasi zipo.

dada yangu siku hizi umekuwa wa kutafuta kick za BAVICHA? kweli mwisho wa moto ni majivu.
 
Mkuu huo usajili mpya wa Chadema unatupia post kama hauna akili nzuri.

Kila mtu anataka kum-quote nimecheka sana eti laki si pesa wa Chadema.

Teh teh teh teh
Halafu kuna mwenzake anajiita chademakwanza, kuna siku Saanane alimpa makavu hadi akakimbia jamvini. Siku hizi akiona kuna uzi na Ben yupo anachangia hasogezi pua yake, vilaza kama hawa Ben anawajulia sana
 
Ernesto Che => ukipewa maana ya jina lako Kwa kichina au hata Kwa Kiswahili Neno CHE ni Dezo , slop , bure , hapa kama watu wanaandika kwa kuangalia majina yao basi ww utakuwa umejielewa utakuwa upande gani , jenga hoja acha kupoteza mda na majina .
 
Kigoma anaitwa TIGO hasomeki mtandao wa shida lakini unatumia pesa nying kujitangaza . Zitto siyo mzalendo hajwahi kuwa mzalendo na hatakuwa mzalendo .Zitto ni TIGO hata kama JF anamlinda asiandikwe hapa . Hebu ona hii , majuzi kasema atashangaa kama CCM hawatamchagua Membe kuwa mgombea wao .Akasema ni msafi nk . Membe alidiriki kunyesha ushirika wao siku anatangaza nia kwa kumtetea Zitto . Zitto alienda mbali zaidi hadi kumpelekea Membe sapoti ya Mbunge masalia wa viti maalum toka Chadema. Eti anasema ajiunge na UKAWA kwa uzuri gani .Tunamngojea Kigoma .
 
Kule Lindi ZZK alisema wagombea wa CCM na miskendo yao

Akasema Lowasa na Richmond yake
Magufuli na uuzwaji wa Nyumba za serikali
Mwandosya na Uuzwaji mashirika ya umma

Kiufupi Mtanzania ni Gazeti la Rostam ambaye yuko team Lowasa
 
Gininiga

nyie watu mna matatizo sana na zitto! umeshakili hilo gazeti ni la team lowasa na lipo hapo kimkakati kwa nini usihisi labda sehemu aliyolipuliwa lowasa haikuwekwa hapo,!? hivi unategemea kabisa lowasa asemwe vibaya halafu mhariri wa gazeti hilo aiweke!? kushindwa kwako kuyaona mapungufu haya yote si bure ni dhahiri umesukumwa na chuki zako dhidi ya zitto!
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ilikua ni hotuba yake mkoani lindi akijaribu kuelezea namna gani wagombea urais wasivyokua na muda wa kujadili issue ya rushwa kwa uwazi na suala la miiko ya uongozi na aliwataja baadhi ya wagombea na mtu wa kwanza kumtaja alikua Lowasa so nimeshangazwa na hili bandiko
 
Back
Top Bottom