Zitto awashambulia watangaza nia wa CCM

Zitto awashambulia watangaza nia wa CCM

Gininiga

Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
28
Reaction score
16
Leo katika gazeti la mtanzania tena la kina Lowassa na team zake, Zitto Kabwe eti kawalipua Membe, Magufuli na Mwandosya, ilibidi nikimbie kulinunua gazzeti hili kusoma ndani nikagundua mtu huyu anatumika vibaya na Lowassa, kwanza kapewa milioni 200 ili afanye fujo zake hizo za kipuuzi.

Ukiangalia katika tuhuma hizo hapaswi kuacha kumsema Lowassa lakini yeye kwa makusudi anawashambulia ha niliowataja kwa kuwa pengine wanaogopwa kwenye siasa za kuwania urais.

Mfano,eti Magufuli haeleweki yupo upande upi kukemea rushwa? uuzwaji wa nyumba za serikali na kadhalika. Hizi ni hoja nyepesi sana kujibiwa na mwanasiasa kama Magufuli.

Mwandosya anamuhusisha na ubinafishaji wa mashirika ya Umma enzi za Mkapa (hakuna hoja hapa)

Kwa ufupi Zitto anatumika na Lowassa ! chunguzeni mfuatilie mtanielewa ninachokisema.
 
mbona povu linakutiririka tu??!! Na Membe je??!!

CCM hata malaika akishushwa toka mbiguni agombee atakuwa mchafu tu,Chama na serikali yake kimejaa najisi!!!
 
mbona povu linakutiririka tu??!! Na Membe je??!!

CCM hata malaika akishushwa toka mbiguni agombee atakuwa mchafu tu,Chama na serikali yake kimejaa najisi!!!

Siitetei CCM naangalia kwa umakini siasa za Zitto. Full Stop!!
 
mbona povu linakutiririka tu??!! Na Membe je??!!

CCM hata malaika akishushwa toka mbiguni agombee atakuwa mchafu tu,Chama na serikali yake kimejaa najisi!!!

Kweli kabisa kwa sasa hakuna kiongozi aliye msafi ndani ya ccm
 
Mtu anayeamini uchawi kuwa ndiyo nguzo yake hawezi fika mbali zitto angegombea kuwakilisha wachawi wenzake kama hizo nafasi zipo.
 
Zitto ni fisadi kuliko mnavyomjua, kamuulize Ngeleja escrow zitto alikuka ngapi ndo uje hapa tena unayemkubali mwizi
 
Unacho taka kutuambia ni kipi?naona unaruka ruka tu mahindi yakutengeneza bisi.
 
analaana ya Watanzania huyo, amenyang'anya jama anaendesha chama amabacho hakijasajiliwa na msajili ameshindwa kusema
Gininiga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom