zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,460
- 27,494
mbona umechelewa sana kung'amua ? zitto alifirisika kisiasa tangu alipotimuliwa cdm .
ZZK yupi huyo, maana huyu wa ACT ana vuna wanachama wapya kila siku
utasubiri sana ZZK kufirisika kisiasa
mbona umechelewa sana kung'amua ? zitto alifirisika kisiasa tangu alipotimuliwa cdm .
Zitto ni mwanasiasa hatari,kazi yake ni kupiga Dili, halo ujue LOwassa Kesha mkatia mkwanja kwa hiyo ameanza kuutumikia, haingii akilini hapa Tanzania ushindwe kuzungumza ufisadi wa Lowassa na kushamhulia wengine, lakini serikali inafahamu mkakati wa Zitto na Lowassa. Hicho chama chake mwisho wake unakuta.
Kumekucha tena Bavicha karibuni kwenye uzi wa Zitto.Nimeangalia kwenye instgram yake leo, Zitto anawashambulia vikali wagombea wa CCM kwa tuhuma mbali mbali za kusadikika kama kawaida yake.
Lakini kuna jambo moja nimegundua kua Zitto ni mdini sana na hata siku moja sijawahi sikia akimosoa kiongozi yeyote yule muislamu.
Huyu mtu ni wa kuogopa sana na anastahili kukemewa
Mkuu hivi udini ni nini?Nimeangalia kwenye instgram yake leo, Zitto anawashambulia vikali wagombea wa CCM kwa tuhuma mbali mbali za kusadikika kama kawaida yake.
Lakini kuna jambo moja nimegundua kua Zitto ni mdini sana na hata siku moja sijawahi sikia akimosoa kiongozi yeyote yule muislamu.
Huyu mtu ni wa kuogopa sana na anastahili kukemewa
Jipange sana kisha urudiNimeangalia kwenye instgram yake leo, Zitto anawashambulia vikali wagombea wa CCM kwa tuhuma mbali mbali za kusadikika kama kawaida yake.Lakini kuna jambo moja nimegundua kua Zitto ni mdini sana na hata siku moja sijawahi sikia akimosoa kiongozi yeyote yule muislamu.Huyu mtu ni wa kuogopa sana na anastahili kukemewa
Rudi darasaniMkuu hivi udini ni nini?
Mdini ni mtu kama wewe, japokua naona siku hizi umepunguza hiyo tabia umewaachia kahtaan na yule bibibombaMkuu hivi udini ni nini?
ni hivi , wachunguzi wanadai kwamba mikutano inayofanywa na zito ni kama yale matamasha ya coco beach au mbio za mwenge , yaani mwenge ukiondoka hakuna mradi unaodumu !Ahahhahahah kila siku kafilisika naona watalaka mnajifariji ni lini alizungmza jambo mkamuunga mkono wanafki wakubwa nyie.
Wewe haujui Uislam nani alikuwambia vikao vya Waislam lazima viwe msikitini?kwani bakwata waislamu? waislam hatuchagui muft hotel bali vikao vya kiislam ni msikitini